Philipines Duterte terminates relations with US, joins China & Russia

Barbarosa nikisoma maandiko yako JF huwa unanikumbusha sana msemo wa kufikiri ndani ya boksi, nje ya boksi na fikra bila boksi. Inabidi ifike mahali tutengeneze njia yetu na siyo kuchagua njia zilizokwisha tengenezwa. Natumaini utanielewa.
 
MY TAKE: Yanazidi kutimia na laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Raisi wa USA Barack Obama anazidi kuibomoa na kuitenga USA, sasa kwa mara ya kwanza nchi ya Ufilipino chini ya Raisi Duterte imeamua kusitisha uhusiano wake na USA na kujiunga rasmi na mhimili wa Uchina, Urusi &Co.!

Kama D.trump anavyosema ,,no one respects USA anymore" na ni ukweli kabisa, tumebakia Afrika tu ndiyo tunaolamba viatu vya Wazungu lkn Dunia yote imeshaamka!

Hii inakuja baada ya Raisi huyo wa Ufilipino kuamrisha majeshi yote ya USA kuondoka Ufilipino, sasa hili ni pigo kubwa sana kwa Obama na USA kwani Ufilipino ni muhimu sana kwa USA!
Hii movie anayocheza huyu mwehu tumeshaiona before na tunajua exactly kitakachotokea nachosilkitika Philippines wote wataingizwa kwenye hili shimo, na huyo Gadaffi mnayemwona mungu mtu aliua sana Libyans kwenye Arab Spring na jeshi lake lilikuwa likiongozwa na mwanaye (jina???) walichinja Libyans kama kuku mpaka NATO walipoingilia so he can be your hero lakini alikuwa enemy of many ndani ya Libya na wengi walipoteza maisha na ujinga wake kama wa Durtete, alipoteza 20 yrs na kuingiza the whole Nation in sanctions ili kulinda terrorist wateka ndege kwa ajiri ya ubwege tuu kitu ambacho angeweza avoid
 
Mkuu hujui kwamba Arab spring ilipandikizwa nahao hao US!!!?
 
Ni kweli Mkuu
Tumemuona hata Uturuki akiomba radhi kwa Mrusi kwa kitendo chake alichomfanyia Urusi, na hata hivi juzi waliingia mikataba ya kibiashara japo yeye ni NATO lakini kawapuuza wenzie kwa kitendo cha kumwekea Vikwazo Mrusi.

Na inaonyesha kwa sasa Mataifa mengine yatafuata nyao ya Rais Duterte kwa ujasiri aliuwafanya,

Sema kwa upande wa Africa bado tumelala kwa kuogopa kutopatiwa misaada, ila Burundi wamedhubutu kwa kujiondoa kwenye kichaka ICC kilichowekwa kwa ajili ya viongozi wa Africa.
USA has failed already and it will fail over and over again. Russia is the only nation on earth ready to defend humanity. My take ni kwamba now power is changing from America and Western Europe to Eastern (Russia) and Asia where there's India, China etc. Russians are back and they're not going anywhere soon.
 
Ajabu ni kuwa waphilipino wanapenda zaidi ushirikiano na USA
Ila bwana duterte ye hataki hata kidogo
 
Koba,,you don't know anything about world politics and international relations and most of all you don't even know the Arab spring and who created that. Gadaffi was a hero in Africa and we will always remember him.
Asante mkuu.Sina haki yakuchangia mawazo yangu umu.Wewe ndio unahaki pekee yakuchangia make unaongea ukweli mtupu na unahaki yakunidhihaki kwani nimeaandika pumba tupu nasijui chochote
 
What i can advise you is that you should learn more about international affairs. Do you even know why they killed Ghadaffi at 1st place? Are you really supporting what USA and it's ally France together with NATO did in Libya? Is that really democracy that a sovereign country like libya wished for? Think and write brother.
Asante mkuu.Sina haki yakuchangia mawazo yangu umu.Wewe ndio unahaki pekee yakuchangia make unaongea ukweli mtupu na unahaki yakunidhihaki kwani nimeaandika pumba tupu nasijui chochote
 
Mkuu hujui kwamba Arab spring ilipandikizwa nahao hao US!!!?
Hahaha acha upuuzi watu walikuwa wanataka haki na demokrasi bada ya kutawaliwa 40 yrs kwa udkteta na Gadaffi na Mubaraki na wapuuzi wengine leo mnasema west ndio waliohusika? akili zenu matope sana nyie na hao wakomunist sijui mnaona nini cha maana walichoifanyia dunia zaidi ya kuongeza njaa tuu,angalia Venezuela,Cuba etc walioamua kujiingiza na beef za kijinga wamefika wapi?
 
Koba,,you don't know anything about world politics and international relations and most of all you don't even know the Arab spring and who created that. Gadaffi was a hero in Africa and we will always remember him.
Unaongea fictions tuu hakuna unachojua acha kutupotezea muda
 
Did communism killed red indies? Did communism bombed Nagasaki and Heroshima in 1945? Did Russians bombed Vietnam in 1960's? Did Russians bombed Iraq in 2000's? Did Russians bombed Afghanistan in 1980's? Did Russians bombed Laos? Did Russians bombed Libya, Yemen, and created Arab spring? if not Russians then who did that? would you please tell me at least one country which has been bombed by the Russian in this world? can you at least answer that?
 
Hahaha acha upuuzi watu walikuwa wanataka haki na demokrasi bada ya kutawaliwa 40 yrs kwa udkteta na Gadaffi na Mubaraki na wapuuzi wengine leo mnasema west ndio waliohusika? akili zenu matope sana nyie na hao wakomunist sijui mnaona nini cha maana walichoifanyia dunia zaidi ya kuongeza njaa tuu,angalia Venezuela,Cuba etc walioamua kujiingiza na beef za kijinga wamefika wapi?
Haya sasa Gaddafi ameshaondolewa na kuuwawa......

Na Kama walikuwa wanadai Democratic haya sasa ipo wapi hiyo Demokrasia waliyokuwa wakiitaka....???
 
Did communism killed red indies? Did communism bombed Nagasaki and Heroshima in 1945? Did Russians bombed Vietnam in 1960's? Did Russians bombed Iraq in 2000's? Did Russians bombed Afghanistan in 1980's? Did Russians bombed Laos? Did Russians bombed Libya, Yemen, and created Arab spring? if not Russians then who did that? would you please tell me at least one country which has been bombed by the Russian in this world? can you at least answer that?
Communism killed millions just FYI na wengine wasiojua
 
After the president of the Philippines announced a separation from the US – a statement which his government has since walked back – Russia’s ambassador to the country said Moscow is ready to provide assistance to and fully cooperate with Manila.

“Formulate your wish list. What kind of assistance do you expect from Russia and we will be ready to sit down with you and discuss what can and should be done,” Russian Ambassador Igor Khovaev told GMA News on Friday.

Russia wameshamwambia Duterte aseme anachotaka wao Russians watamtimizia. Huu ni wakati sasa Russia wa kuweka Military Base Philippine ... Kuanzia hapo South China Sea itakuwa ni ya Russians and Chinese. US strength inazidi kuwa contained

Na sasa hivi Chinese wanafanya modernization kwenye PRA na jeshi la China litakuwa more advanced kwenye upande wa Naval.
 
Back
Top Bottom