Philipines Duterte terminates relations with US, joins China & Russia

Ofcorse na hasa kama hatacheza karata zake vyema. When you are playing with US you should make sure that you hold your cards very close to your chest.
Huyo jamaa cku zake za kukaa madarakani zinahesabika...
 
Tumemuona hata Uturuki akiomba radhi kwa Mrusi kwa kitendo chake alichomfanyia Urusi, na hata hivi juzi waliingia mikataba ya kibiashara japo yeye ni NATO lakini kawapuuza wenzie kwa kitendo cha kumwekea Vikwazo Mrusi.

Na inaonyesha kwa sasa Mataifa mengine yatafuata nyao ya Rais Duterte kwa ujasiri aliuwafanya,

Sema kwa upande wa Africa bado tumelala kwa kuogopa kutopatiwa misaada, ila Burundi wamedhubutu kwa kujiondoa kwenye kichaka ICC kilichowekwa kwa ajili ya viongozi wa Africa.

Ni kweli mkuu, Rais wa Uturuki bila kutonywa na Putin kuhusu mpango wa Merikani wa kupindua Serikali yake na kumuua yeye, saa hizi angekuwa marehemu!! Awezi kusahau Putin na Urusi kwa kunusuru maisha yake.

Rais wa Uturuki amekwisha wekeana mkataba na Urusi kwa ajili ya kununua Air Defence System kutoka Urusi, wamekabaliana vile vile kujenga nuclear power reactor kwa ajili ya kuzalisha umeme, mambo ya utalii, Kampuni za ujenzi za Kituruki kwenda Urusi kuendelea na shughuli zao kama ilivyo kuwa mwanzo, uuzaji wa matunda na mboga mboga na kikubwa zaidi Uturuki imekubali bomba la gesi la Urusi kupitia nchini mwake kwenda Ulaya - makubaliano hayo yamemuhudhi Obama na wapambe wake, maanake uchochezi wote wa vita nchini Syria unao fanywa na Merikani na wapambe wake chanzo chake ni ujenzi wa bomba la gesi kutokea Qatar kwenda Ulaya kwa kupitia Syria.

Atittude za Uturuki 2wards Merikani kwa siku za karibuni huo ni mwanzo, Mataifa mengine nayo yatakuwa yanajitoa taratibu kutoka kwenye makucha ya Mayankee.

Linapo kuja suala la baadhi ya Waswahili wenzetu kuipigia debe Merikani ni kitu cha kushangaza kidogo, labda awajui historia ya siasa za Taifa hilo linavyo sababisha maafa yasiyo na kifani kwa baadhi ya Mataifa ya third World, awajui hata kama vurugu Sudani kusini mchochezi ni Merikani, kisa: mafuta na kuharibu kuwa contain Wachina nchini humo, juzi juzi hapa Serikali ya Ethiopia imeshutumu vikali Amerika kwa kusababisha/chochea ghasia nchini mwake - kisa? Wanajaribu kuzuia influence ya Wachina Barani Africa especially Ethiopia kwa kuwa China itahusisha Ethiopia kwenye mpango kabambe wa Silk Road.

Wachina wamewajengea reli Ethiopia kwenda Port Sudan, wali by pass Eritrea, reli hiyo itasaidia kuingizwa kwenye network ya reli za Silk road Project - lengo kuu la Project hiyo ni ku facilitate ufanyaji wa biashara na uchukuzi wa mizigo kutoka/kwenda Uchina, Urusi, Ulaya,mashariki ya kati na Africa kwa njia ya reli, mizigo inachukua siku chache kuliko usafiri wa meli.

Merikani inaogopa sana mpango huo wa kiuchumi maana wanajua mpango huo ukitekelezwa/fanikiwa hakuna ambaye atahangahika kujua kinacho endelea huko Merikani i.e Amerika haitakuwa na relevance yoyote Barani Ulaya, Middle East, Asia na Africa.

Hivi tunavyo zungumza majaribio ya mpango huo kabambe yamekwisha anza, train zinatoka Uchina kupitia Urusi na kuja Poland ndani ya wiki, kwa Africa nadhani itachukua wiki mbili!!
 
Mkuu mbona alicho kiandika Barbarosa kinaeleweka vizuri tu! Buzz word hapa ni balance of power kama ilivyo kuwa zamani.

Merikani imekwisha litambua hilo kwamba zama za kutambia Mataifa mengine na kujaribu kulazimisha NWO na ushenzi mwingine wa Regime Change auwezi kuvumilika tena i.e utakuwa challenged from now on na Mataifa mengine yenye misuli kama yeye.

Mtihani wa kwanza wa kuonyeshwa kwamba anaweza kuwa Challenged na asifanye kitu ni Syria, hivi sasa hana la kufanya zaidi ya kupiga makelele na kusingizia watu - lakini ubavu wa kujaribu kuwa confront Uchina au Urusi moja kwa moja ubavu huo hana tena - narudia kusema kwamba hilo amekwisha litambua - akijitia kimbelembele watamchangia na kumchakaza vilivyo, wata hakikisha asiwe kero tena kwa amani ya Dunia.

Kumbuka Mataifa ya Ulaya ni madogo sana kieneo ayawezi kuchukua round - wewe jeuri za Wamerikani unafikiri wangekuwa wamenyanaza bila ya kushambulia ndege za Urusi na bases zao huko Syria pamoja na majeshi ya Syria, sasa kwa nini wamenywea pamoja na ufedhuli wao,wanaishia kutoa tamko eti wataziwekea vikwazo vya kiuchumi Syria na Urusi, si NATO ina ndege zaidi ya 140 kwenye eneo hilo ukiongezea cruise missiles mbona wamekaa kimya.

Wiki hii Serikali ya Merikani imetuma wajumbe kwa siri waende kumbembeleza Dogo wa Korea Kasikazini ili wamalize tofauti zao kistaarabu, kwa nini? Hapa walikuwa wanajitapa eti watatumia B-52 na Stealth Bomber zao kumumaliza Dogo na Serikali yake!!

Dogo kakomaa kwamba wakijaribu kumshambulia basi Korea ya Kusini itageuzwa majivu vile vile na bases za Merikani huko Okinawa na Guam atazishughulikia vilivyo, Dogo kaenda mbali zaidi kwa karusha ICBM kutoka ndani ya nyambizi to prove a point - Wamerika wanajua Dogo yuko Serious atanii, Merikani itaishia kuonea/kushambulia Mataifa madogo yasiyo na nguvu za kukabiliana nao, mfano: Libya, Afghanistan, Iraq nk na sio Mataifa yenye misuli kama yeye au Taifa jasiri kama VietNam na Cuba. Wajifunze kuheshimu binadamu wenzie na kujali maslahi ya Mataifa mengine, wakifakisha hilo hawatakuwa na maadui kila kona ya Dunia.
Mkuu hilo unaloongea ni sahihi kbs,marekani naw ni simba mkali lkn hana meno wala kucha,ndio maana nchi nyingi hata akiongea,haufyati kama zaman,zaid zaid zinajikomba kwa urusi au china ili na zenyewe ziwe salama
 
Ni kweli mkuu, Rais wa Uturuki bila kutonywa na Putin kuhusu mpango wa Merikani wa kupindua Serikali yake na kumuua yeye, saa hizi angekuwa marehemu!! Awezi kusahau Putin na Urusi kwa kunusuru maisha yake.

Rais wa Uturuki amekwisha wekeana mkataba na Urusi kwa ajili ya kununua Air Defence System kutoka Urusi, wamekabaliana vile vile kujenga nuclear power reactor kwa ajili ya kuzalisha umeme, mambo ya utalii, Kampuni za ujenzi za Kituruki kwenda Urusi kuendelea na shughuli zao kama ilivyo kuwa mwanzo, uuzaji wa matunda na mboga mboga na kikubwa zaidi Uturuki imekubali bomba la gesi la Urusi kupitia nchini mwake kwenda Ulaya - makubaliano hayo yamemuhudhi Obama na wapambe wake, maanake uchochezi wote wa vita nchini Syria unao fanywa na Merikani na wapambe wake chanzo chake ni ujenzi wa bomba la gesi kutokea Qatar kwenda Ulaya kwa kupitia Syria.

Atittude za Uturuki 2wards Merikani kwa siku za karibuni huo ni mwanzo, Mataifa mengine nayo yatakuwa yanajitoa taratibu kutoka kwenye makucha ya Mayankee.

Linapo kuja suala la baadhi ya Waswahili wenzetu kuipigia debe Merikani ni kitu cha kushangaza kidogo, labda awajui historia ya siasa za Taifa hilo linavyo sababisha maafa yasiyo na kifani kwa baadhi ya Mataifa ya third World, awajui hata kama vurugu Sudani kusini mchochezi ni Merikani, kisa: mafuta na kuharibu kuwa contain Wachina nchini humo, juzi juzi hapa Serikali ya Ethiopia imeshutumu vikali Amerika kwa kusababisha/chochea ghasia nchini mwake - kisa? Wanajaribu kuzuia influence ya Wachina Barani Africa especially Ethiopia kwa kuwa China itahusisha Ethiopia kwenye mpango kabambe wa Silk Road.

Wachina wamewajengea reli Ethiopia kwenda Port Sudan, wali by pass Eritrea, reli hiyo itasaidia kuingizwa kwenye network ya reli za Silk road Project - lengo kuu la Project hiyo ni ku facilitate ufanyaji wa biashara na uchukuzi wa mizigo kutoka/kwenda Uchina, Urusi, Ulaya,mashariki ya kati na Africa kwa njia ya reli, mizigo inachukua siku chache kuliko usafiri wa meli.

Merikani inaogopa sana mpango huo wa kiuchumi maana wanajua mpango huo ukitekelezwa/fanikiwa hakuna ambaye atahangahika kujua kinacho endelea huko Merikani i.e Amerika haitakuwa na relevance yoyote Barani Ulaya, Middle East, Asia na Africa.

Hivi tunavyo zungumza majaribio ya mpango huo kabambe yamekwisha anza, train zinatoka Uchina kupitia Urusi na kuja Poland ndani ya wiki, kwa Africa nadhani itachukua wiki mbili!!
Na imekua confirmed nchi za kiarabu zilizo nyingi zimeamua kuanza kuuza mafuta kwa kutumia sarafu ya china.
 
Ni kweli Mkuu
Tumemuona hata Uturuki akiomba radhi kwa Mrusi kwa kitendo chake alichomfanyia Urusi, na hata hivi juzi waliingia mikataba ya kibiashara japo yeye ni NATO lakini kawapuuza wenzie kwa kitendo cha kumwekea Vikwazo Mrusi.

Na inaonyesha kwa sasa Mataifa mengine yatafuata nyao ya Rais Duterte kwa ujasiri aliuwafanya,

Sema kwa upande wa Africa bado tumelala kwa kuogopa kutopatiwa misaada, ila Burundi wamedhubutu kwa kujiondoa kwenye kichaka ICC kilichowekwa kwa ajili ya viongozi wa Africa.
Afrika hasa tanzania hatuwezi maana sie ni wabobezi katika inafiki na uchawi
 
Ni kweli mkuu, Rais wa Uturuki bila kutonywa na Putin kuhusu mpango wa Merikani wa kupindua Serikali yake na kumuua yeye, saa hizi angekuwa marehemu!! Awezi kusahau Putin na Urusi kwa kunusuru maisha yake.

Rais wa Uturuki amekwisha wekeana mkataba na Urusi kwa ajili ya kununua Air Defence System kutoka Urusi, wamekabaliana vile vile kujenga nuclear power reactor kwa ajili ya kuzalisha umeme, mambo ya utalii, Kampuni za ujenzi za Kituruki kwenda Urusi kuendelea na shughuli zao kama ilivyo kuwa mwanzo, uuzaji wa matunda na mboga mboga na kikubwa zaidi Uturuki imekubali bomba la gesi la Urusi kupitia nchini mwake kwenda Ulaya - makubaliano hayo yamemuhudhi Obama na wapambe wake, maanake uchochezi wote wa vita nchini Syria unao fanywa na Merikani na wapambe wake chanzo chake ni ujenzi wa bomba la gesi kutokea Qatar kwenda Ulaya kwa kupitia Syria.

Atittude za Uturuki 2wards Merikani kwa siku za karibuni huo ni mwanzo, Mataifa mengine nayo yatakuwa yanajitoa taratibu kutoka kwenye makucha ya Mayankee.

Linapo kuja suala la baadhi ya Waswahili wenzetu kuipigia debe Merikani ni kitu cha kushangaza kidogo, labda awajui historia ya siasa za Taifa hilo linavyo sababisha maafa yasiyo na kifani kwa baadhi ya Mataifa ya third World, awajui hata kama vurugu Sudani kusini mchochezi ni Merikani, kisa: mafuta na kuharibu kuwa contain Wachina nchini humo, juzi juzi hapa Serikali ya Ethiopia imeshutumu vikali Amerika kwa kusababisha/chochea ghasia nchini mwake - kisa? Wanajaribu kuzuia influence ya Wachina Barani Africa especially Ethiopia kwa kuwa China itahusisha Ethiopia kwenye mpango kabambe wa Silk Road.

Wachina wamewajengea reli Ethiopia kwenda Port Sudan, wali by pass Eritrea, reli hiyo itasaidia kuingizwa kwenye network ya reli za Silk road Project - lengo kuu la Project hiyo ni ku facilitate ufanyaji wa biashara na uchukuzi wa mizigo kutoka/kwenda Uchina, Urusi, Ulaya,mashariki ya kati na Africa kwa njia ya reli, mizigo inachukua siku chache kuliko usafiri wa meli.

Merikani inaogopa sana mpango huo wa kiuchumi maana wanajua mpango huo ukitekelezwa/fanikiwa hakuna ambaye atahangahika kujua kinacho endelea huko Merikani i.e Amerika haitakuwa na relevance yoyote Barani Ulaya, Middle East, Asia na Africa.

Hivi tunavyo zungumza majaribio ya mpango huo kabambe yamekwisha anza, train zinatoka Uchina kupitia Urusi na kuja Poland ndani ya wiki, kwa Africa nadhani itachukua wiki mbili!!
Ahsante Mkuu.....

Ahsante sana Mkuu....!!!

Hizi ni Nondo Kuntu kabisa.
 
fuatlia,tena huo mkutano ulifanyika riyadh,hivi we hujui kilicho muua Sadam? ni hayo hayo masuala ya sarafu ya nchi za kiarabu,,alitaka wasiuze mafuta kwa dola,maana haiko stable
Najua na pia najua nini kinatafutwa Syria ndo maana nkakuuliza nchi gan hyo inauza mafuta kwa Yuan instead of dollars... Coz hyo petrodollar ipo in exchange na Usalama wao yan wao wafanye petrodollar wakt marekan anawapatia ulinzi
 
Na imekua confirmed nchi za kiarabu zilizo nyingi zimeamua kuanza kuuza mafuta kwa kutumia sarafu ya china.

Mkuu huo ndio mwanzo, na Mungu ana sababu za kuifanya IMF ia approve matumizi ya fedha za Kichina - hii itawatia akili Uncle SAM kuheshimu binadamu wenzake, hilo la kwanza, la pili - matukio ya siku za hivi karibuni zitamfanya afikirie mara mbili kuhusu njozi zake za mchana za kutaka kuanzisha WW3 na ujinga wake wa kusema Nuclear WAR is survivable!!!
 
Asante mkuu.Sina haki yakuchangia mawazo yangu umu.Wewe ndio unahaki pekee yakuchangia make unaongea ukweli mtupu na unahaki yakunidhihaki kwani nimeaandika pumba tupu nasijui chochote
Mbona hakujibu wewe??? By the way...are you Koba? You probably replied without reading his comment!!!
 
Asubiri fitna ya USA hana muda atapiga magoti subiri tu wamalize uchaguzi amewekwa kiporo kama ilivyowekwa kiporo zanzibar
 
Back
Top Bottom