Philipines Duterte terminates relations with US, joins China & Russia

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte ametangaza kusitisha Uhusiano wa kiuchumi, kijeshi na Marekani ingawa Marekani imekanusha kupata maombi hayo.

Amesema kuwa anaanza kushirikiana kikamilifu na Urusi pamoja na China.
========================

The Philippines has long been the United States' staunchest ally in Asia. But for how much longer?

Philippines President Rodrigo Duterte, on his first state visit to China, announced that he would be cutting "military, not maybe social, but economics also" ties with the US.

Duterte didn't provide details about how he'd break away from the US, a major trading partner, or what the separation could entail.
But if he makes good on his pledge, it could have huge ramifications for the two countries and the balance of power in the wider region.
Here's what's at stake.

People
The Philippines is a former US colony and an estimated four million US citizens are of Philippine ancestry.

The US accounts for roughly a third of the $17.6 billion that Filipinos working overseas have sent home this year.

Remittances from many of these people to families in the Philippines are often economic lifelines, and significant contributors to local economies throughout the country.

And it cuts both ways -- there are more than 220,000 US citizens living in the Philippines, including a large number of US veterans.
The Philippines is also a big tourist destination for Americans -- an estimated 650,000 visit the country, with its world-class beaches, diving and adventure tourism, amongst many other draws, each year.

Duterte made international headlines in April 2016 with his inflammatory comments on the 1989 rape and murder of an Australian missionary that took place in Davao City.

Duterte says U.S. has lost, aligns Philippines with China

MY TAKE: Yanazidi kutimia na laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Raisi wa USA Barack Obama anazidi kuibomoa na kuitenga USA, sasa kwa mara ya kwanza nchi ya Ufilipino chini ya Raisi Duterte imeamua kusitisha uhusiano wake na USA na kujiunga rasmi na mhimili wa Uchina, Urusi &Co.!

Kama D.trump anavyosema ,,no one respects USA anymore" na ni ukweli kabisa, tumebakia Afrika tu ndiyo tunaolamba viatu vya Wazungu lkn Dunia yote imeshaamka!

Hii inakuja baada ya Raisi huyo wa Ufilipino kuamrisha majeshi yote ya USA kuondoka Ufilipino, sasa hili ni pigo kubwa sana kwa Obama na USA kwani Ufilipino ni muhimu sana kwa USA!

Raisi wa Ufilipino Duterte akiwa na Raisi wa Uchina!
roddut-o.jpg
 
Yanazidi kutimia na laana ya kumuua Gadafi inazidi kumuandama Raisi wa USA Barack Obama anazidi kuibomoa na kuitenga USA, sasa kwa mara ya kwanza nchi ya Ufilipino chini ya Raisi Duterte imeamua kusitisha uhusiano wake na USA na kujiunga rasmi na mhimili wa Uchina, Urusi &Co.!

Kama D.trump anavyosema ,,no one respects USA anymore" na ni ukweli kabisa, tumebakia Afrika tu ndiyo tunaolamba viatu vya Wazungu lkn Dunia yote imeshaamka!

Hii inakuja baada ya Raisi huyo wa Ufilipino kuamrisha majeshi yote ya USA kuondoka Ufilipino, sasa hili ni pigo kubwa sana kwa Obama na USA kwani Ufilipino ni muhimu sana kwa USA!

Duterte says U.S. has lost, aligns Philippines with China

Raisi wa Ufilipino Duterte akiwa na Raisi wa Uchina!
roddut-o.jpg
Ni jambo Zuri ila nina wasiwasi sijui Bunge la Nchi yake limerithia na wananchi wenyewe....??
 
I hope he knows the recipe of food he is preparing...it wont go down quietly with US.
 
Ingekuwa vizuri zaidi kama Rais wa Filipino angewakaribisha Warusi waweke a Military base Ufilipino i.e watumie Military bases zitakazo achwa na Wamerikani.
 
I hope he knows the recipe of food he is preparing...it wont go down quietly with US.

Usijidanganye wakati wa USA kuvamia kila nchi itakayo wakati wowote itakayo umekwisha na ndiyo maana Urusi yuko Ukraine, yuko Syria, Uturuki anashirikiana na Urusi na Iran na hakuna kitu USA anafanya tena zaidi ya matamko yasiyo na tija, Dunia imeshabadilika na sasa hivi kuna balance of power au wanaita multipolar World na siyo Uniplar kama zamani!

USA anamuhitaji Mchina na Mchina anamuhitaji USA hivyo heshima ipo na hakuna wa kumpiga mkwara mwenzake!
 
Hivi Mkuu huyo Uturuki kwa sasa vp uhusiano wake na Urusi
 
HIvi Syria Assad family kutawala milele daima? USA oyee baada ya Rais African American karibu bi Hillary.
 
Usijidanganye wakati wa USA kuvamia kila nchi itakayo wakati wowote itakayo umekwisha na ndiyo maana Urusi yuko Ukraine, yuko Syria, Uturuki anashirikiana na Urusi na Iran na hakuna kitu USA anafanya tena zaidi ya matamko yasiyo na tija, Dunia imeshabadilika na sasa hivi kuna balance of power au wanaita multipolar World na siyo Uniplar kama zamani!

USA anamuhitaji Mchina na Mchina anamuhitaji USA hivyo heshima ipo na hakuna wa kumpiga mkwara mwenzake!
Wala sio kujifanganya...unafikiri wamelala wanakubali matokea kirahisi kama wewe Barbosa?
 
Mkuu mbona alicho kiandika Barbarosa kinaeleweka vizuri tu! Buzz word hapa ni balance of power kama ilivyo kuwa zamani.

Merikani imekwisha litambua hilo kwamba zama za kutambia Mataifa mengine na kujaribu kulazimisha NWO na ushenzi mwingine wa Regime Change auwezi kuvumilika tena i.e utakuwa challenged from now on na Mataifa mengine yenye misuli kama yeye.

Mtihani wa kwanza wa kuonyeshwa kwamba anaweza kuwa Challenged na asifanye kitu ni Syria, hivi sasa hana la kufanya zaidi ya kupiga makelele na kusingizia watu - lakini ubavu wa kujaribu kuwa confront Uchina au Urusi moja kwa moja ubavu huo hana tena - narudia kusema kwamba hilo amekwisha litambua - akijitia kimbelembele watamchangia na kumchakaza vilivyo, wata hakikisha asiwe kero tena kwa amani ya Dunia.

Kumbuka Mataifa ya Ulaya ni madogo sana kieneo ayawezi kuchukua round - wewe jeuri za Wamerikani unafikiri wangekuwa wamenyanaza bila ya kushambulia ndege za Urusi na bases zao huko Syria pamoja na majeshi ya Syria, sasa kwa nini wamenywea pamoja na ufedhuli wao,wanaishia kutoa tamko eti wataziwekea vikwazo vya kiuchumi Syria na Urusi, si NATO ina ndege zaidi ya 140 kwenye eneo hilo ukiongezea cruise missiles mbona wamekaa kimya.

Wiki hii Serikali ya Merikani imetuma wajumbe kwa siri waende kumbembeleza Dogo wa Korea Kasikazini ili wamalize tofauti zao kistaarabu, kwa nini? Hapa walikuwa wanajitapa eti watatumia B-52 na Stealth Bomber zao kumumaliza Dogo na Serikali yake!!

Dogo kakomaa kwamba wakijaribu kumshambulia basi Korea ya Kusini itageuzwa majivu vile vile na bases za Merikani huko Okinawa na Guam atazishughulikia vilivyo, Dogo kaenda mbali zaidi kwa karusha ICBM kutoka ndani ya nyambizi to prove a point - Wamerika wanajua Dogo yuko Serious atanii, Merikani itaishia kuonea/kushambulia Mataifa madogo yasiyo na nguvu za kukabiliana nao, mfano: Libya, Afghanistan, Iraq nk na sio Mataifa yenye misuli kama yeye au Taifa jasiri kama VietNam na Cuba. Wajifunze kuheshimu binadamu wenzie na kujali maslahi ya Mataifa mengine, wakifakisha hilo hawatakuwa na maadui kila kona ya Dunia.
 
Ni kweli Mkuu
Tumemuona hata Uturuki akiomba radhi kwa Mrusi kwa kitendo chake alichomfanyia Urusi, na hata hivi juzi waliingia mikataba ya kibiashara japo yeye ni NATO lakini kawapuuza wenzie kwa kitendo cha kumwekea Vikwazo Mrusi.

Na inaonyesha kwa sasa Mataifa mengine yatafuata nyao ya Rais Duterte kwa ujasiri aliuwafanya,

Sema kwa upande wa Africa bado tumelala kwa kuogopa kutopatiwa misaada, ila Burundi wamedhubutu kwa kujiondoa kwenye kichaka ICC kilichowekwa kwa ajili ya viongozi wa Africa.
 
Back
Top Bottom