wanaovaa hizo pete ni wateja wa tigo express yourself! ni mwaliko ili usiangaike, ila kama wewe ni mla kichuli pale ndo mahala pake!
jaman mwenzenu cjui asili wala maana ya hizi pete za vidole vya miguuni zivaliwazo na dada zetu hapa jijin maana mmh...
du ! pete vidole vyote vya mikono, vidole vya miguu , hereni puani na masikioni , cheni , shanga kiunoni na miguu, mzito wa mabangili mikono yote kweli dada zetu mnashughuli
hapo sijakupata vizuri nn maana yake tigo company au