Ni kwanini ukijichibua vidole vinagoma kuwa vyeupe?

Sugu inatokana na tatizo la genetics, aina ya kipodozi, ugumu wa ngozi.

Mkorogo wa bei kubwa sugu utaisikia kwa jirani, Mwingine mkorogo wa 3k anang'aa mwili mzima hadi roho No sugu rangi ya mwarabu!

Inategemea mtu na mtu, mwingine hajichubui lkn ana sugu!
 
Mkorogo wa bei kubwa sugu utaisikia kwa jirani,
Mwingine mkorogo wa 3k anang'aa mwili mzima hadi roho No sugu rangi ya mwarabu!

Inategemea mtu na mtu, mwingine hajichubui lkn ana sugu!
Kuna kitu tu kitakuonyesha kuwa huyu si mweupe. Unaweza shangaa hata nanii ikaweka vidoti doti vyeusi.
 
Nimekaa na dada mmoja mrembo safarini kwenye seat ya bus amejichubua, ila kama ilivyo ada vidole vya miguuni na mikononi bado vyeusi.

Sasa shida huwa ni nini eneo hilo la ngozi kuendelea kuwa peusi?
huenda inaunguza mikononi wakat wa kukoroga mgorogo 🐒
 
Sugu inatokana na tatizo la genetics, aina ya kipodozi, ugumu wa ngozi.

Mkorogo wa bei kubwa sugu utaisikia kwa jirani, Mwingine mkorogo wa 3k anang'aa mwili mzima hadi roho No sugu rangi ya mwarabu!

Inategemea mtu na mtu, mwingine hajichubui lkn ana sugu!
nimechekaa had bas wallah.
 
Back
Top Bottom