pete za vidole vya miguuni

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,362
299
jaman mwenzenu cjui asili wala maana ya hizi pete za vidole vya miguuni zivaliwazo na dada zetu hapa jijin maana mmh...
 
Asili yake ni wahindi....but its sexy, if you have toes for it.
 
du ! pete vidole vyote vya mikono, vidole vya miguu , hereni puani na masikioni , cheni , shanga kiunoni na miguu, mzito wa mabangili mikono yote kweli dada zetu mnashughuli
 
wanaovaa hizo pete ni wateja wa tigo express yourself! ni mwaliko ili usiangaike, ila kama wewe ni mla kichuli pale ndo mahala pake!
 
mmmmh jaman hali ipo hivii suala la chen za miguu ni urembo tuu ambao watu wanapenda sema weng husema ni watoa tigo and pete pia ndo wale wale makurumbembe bt wachache wanawaponza weng yan na sie wadada kwakujipenda bas unaiga bt inatafsiri mbaya saana.
 
du ! pete vidole vyote vya mikono, vidole vya miguu , hereni puani na masikioni , cheni , shanga kiunoni na miguu, mzito wa mabangili mikono yote kweli dada zetu mnashughuli

umetisha hapa kazi kweli kweli wanayo hawa mmh?
 
Hakuna maana ya kutoa tigo wala nyingine yoyote, wanawake kuvaa pete na cheni miguuni ni urembo tu, na haikuanza leo. Mwanamke akiamua kujiremba atavaa cheni popote inapovalika iwe ni kuzungushia kichwani, shingoni, mguuni, mkononi, kiunoni, nk. Hizo tafsiri nyingine watu wanaweka kwa sababu zao tu. Mnaona siku hizi wanavaa hereni hata sita kwenye sikio moja, mabangili rundo, vipini puani, mdomoni, ulimini, usoni, etc. wadada wana mambo! Hivyo tahadhari wakaka, kama mnapenda tigo msije mkakurupukia wadada wanaovaa vikuku na pete mkidhani ndio wanauza, mnaweza kuangukia pabaya!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom