Pepo awakaribisha watu kwa babu, Makubwaa

Sina haja ya kuuliza ilikuwaje,ni wapi.....
Hii tiba yote inatawaliwa na hao mapepo,hivyo lazima wakae mbele kuwakaribisha wateja wao.
Babu mmoja wa kweli hapa kwetu kesharudi kwa babu wa Loliondo lakini maradhi yake ndiyo kwanza yanashika kasi.

ushahidi muhimu juu ya utapeli wa babu!
 
Nagundua yafuatayo
1. Kuna wa2 hawapendi mchango mkubwa wa babu mfn hao wachungaji na wengineo wengi.
2. Huyo binti hakuwa na pepo alikuw anaigiza 2
3. Watu wameshaanza kuutambua ukwel wa roho mtaktf aliemuotesha babu ndo mana wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha anakata tamaa, lakini washindwa,
4. Wambea lazima washindwe kwani babu hajiongozi bali roho mtktf
5. Mchango wa babu unakubalika ndo mana anakutana na vikwazo/changamoto.

Kwanza we Shalobaro, Pole!! Hata nini maana ya Neno la Mungu hujui!! Neno ni nani hujui!! Anaponyaje hujui!! Pamoja na bidii yako kusali misa ya kwanza, bado unahitaji sana kujifunza ili umjue babu anafanya kazi gani na ya nani. Si kila ndoto yatoka kwa MUNGU. Yupo vilevile mungu wa dunia hii, ambaye yeye kaz yake ni miujiza tu bila ya kuwaongoza watu kutubu dhambi zao na kwenda Mbinguni!! (Luk1:77) Ambaye ndiye mungu wa Ambilikile. Kaka kuponya kusikuthibitishie kuwa babu ni mtumishi wa Mungu aliye hai. Ungekuwa jirani ningekuambia. Click my user name kuna email yangu.
 
why are we so divided and confusing each other?
A muslim says a christian must be a Muslim for him/her to go to heaven.
Kakobe says all Catholics should go to his church for them to go to heaven,
Mzee wa upako the same, miss Judith, Rwakatare..... and the List goes on.
Some say Babu is sent by God while others says the Opposite.
God we need your mercy, please open our eyes.
 
Kwani babu kawakosea nini? mbna kila kukicha hamuachi kumsema huyu Mzee? japo yeye hajawahi kuwajibu wala kuwasemesha neno? naamini babu anatumia ule msemo wa Never argue with a fool.... hebu tuendelee na maisha yetu nae tumuache! Hao mitume wenu ndio siku hizi yamegeuka mahubiri juu ya kikombe cha babu, mbona ya kwao hatuyasemi? au mnadhani hayafahamiki? kumbuka hakuna neno la sirini litakalositirika!

Katukosea kusema kaoteshwa na Mungu!! Kumbe mapepo. We eli hata hii ZAB107:20, hujui inasemaje(soma). Ungejua, kungekuwa hakuna haja ya mzizi wa mgaliga. Tambua Mungu kaamua kuachilia nguvu ya upotevu (2Wathesal2:1-12), wenye kupotea lazima wapotee. Hata aombe nani. Itakuja kwa sura nyingine. Lakini, 2Timoth3:8,9, hawataendelea sana. Tambua alama za nyakati. Acha dini yako ukatubu dhambi zako uokolewe. Mwamini Yesu mwokozi MARKO16:16
 
why are we so divided and confusing each other?
A muslim says a christian must be a Muslim for him/her to go to heaven.
Kakobe says all Catholics should go to his church for them to go to heaven,
Mzee wa upako the same, miss Judith, Rwakatare..... and the List goes on.
Some say Babu is sent by God while others says the Opposite.
God we need your mercy, please open our eyes.

NITAKUULIZA. Unaamini katika dini ya urithi au katika wokovu(kuokoka)??
 
Kazi kwenda tu kuswali na kusali. Mkitoka mnakwenda kwenye misa ya pili ktk bar, pull na disco. Halafu mkikanyaga magonjwa mnawaza Loliondo. Acha mahubiri yenu hapa JF. Rohoni mwako unajishuhudia ulivyo, ndiyo maana unakitetea kikombe cha babu. Kwa sababu kiongozi wako wa dini hajui hata kutoa pepo dhaifu tu. Atapataje kukufundisha juu ya imani ya uponyaji wa Yesu? Mnajifunza neno la Mungu kama knowledge, Mtajuaje juu ya roho aliyenaye babu? Bible yenyewe huna, na kama unayo ndo hiyo ya nolej. Akili nyingi uelewa kidogo. OKOKA ili uelewe neno. Kuokoka kupo, ndiyo maana Yesu anaitwa MWOKOZI, na kazi yake ni......... Ndiyo maana alikuja duniani. La, angetungoja huko mbinguni.! Warumi10:9. Na kuokoka ni kusamehewa dhambi (Luka1:77)
 
Ndiyo!! Tupo. Okoka kwanza ndipo fikra zako zitaachiwa na mungu wako na Ambilikile (babu) 2Wakor4:3-4.

Mpendwa, hata huo wokovu wako nina mashaka nao! hunifahamu wala hatujawahi kukutana then you judge me kwamba niokoke kwanza! Kisa eti namtetea Babu, kwahio yeyote anaemtetea Babu hajaokoka na hajui NENO! usihukumu usije hukumiwa, kukariri mistari ya bible haimaanishi umeokoka zaidi ya wengine au kusali kwa hao mitume na manabii wenu haikufanyi uokoke kuliko mwingine! Bless
 
Hivi mngependa watu waweke hadharani yale yafanywayo na hao mitume na manabii wenu? shall it be fair? Mungu ni wa UPENDO na hakuna formula ya kumwabudu bali kwa wale tu WAMWABUDUO KATIKA ROHO NA KWELI, je hapa BABU anahusikaje? No, mwacheni babu, nendeni kwa vibaka, majambazi, mavyangu, mafisadi muwahubirie hao ila babu mwacheni!
 
Dear KATABU, simaanishi kulumbana na msimamo wako kwa maana na mimi nina wakwangu, jana nilikua KIGOMA na katika pitapita zangu nikaona saluni ya kiume imeandikwa hivi " WHO IS PERFECT?" Ningependa na wewe uchukue maneno hayo! SENZO aliimba akasema, Mungu, ni nani atakayesimama patakatifu pako? maana mioyo yetu imejaa chuki (KATABU) Viongozi wetu wa dini wamekua wauwaji; wa kimwili na roho pia! so who is gona stand! Katabu, will you stand? ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka...Katabu!
 
Kwanza nakubali kabisa kuwa, hakuna hata mmoja angesimama na sijidhanii nimesimama.! Lakini, lazima ukwel uwe dhahiri. Unadhani kaka kinacho wapeleka watu Loliondo ni uponywaji wa mwili na roho? Maana ndiyo mpango wa Mungu!! Zaburi103:3
 
Dear KATABU, simaanishi kulumbana na msimamo wako kwa maana na mimi nina wakwangu, jana nilikua KIGOMA na katika pitapita zangu nikaona saluni ya kiume imeandikwa hivi " WHO IS PERFECT?" Ningependa na wewe uchukue maneno hayo! SENZO aliimba akasema, Mungu, ni nani atakayesimama patakatifu pako? maana mioyo yetu imejaa chuki (KATABU) Viongozi wetu wa dini wamekua wauwaji; wa kimwili na roho pia! so who is gona stand! Katabu, will you stand? ajidhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka...Katabu!
Kwanza nakubali kabisa kuwa, hakuna hata mmoja angesimama na sijidhanii nimesimama.! Lakini, lazima ukwel uwe dhahiri. Unadhani kaka kinacho wapeleka watu Loliondo ni uponywaji wa mwili na roho? Maana ndiyo mpango wa Mungu!! Zaburi103:3
 
Ndiyo!! Tupo. Okoka kwanza ndipo fikra zako zitaachiwa na mungu wako na Ambilikile (babu) 2Wakor4:3-4.

Mpendwa, hata huo wokovu wako nina mashaka nao! hunifahamu wala hatujawahi kukutana then you judge me kwamba niokoke kwanza! Kisa eti namtetea Babu, kwahio yeyote anaemtetea Babu hajaokoka na hajui NENO! usihukumu usije hukumiwa, kukariri mistari ya bible haimaanishi umeokoka zaidi ya wengine au kusali kwa hao mitume na manabii wenu haikufanyi uokoke kuliko mwingine! Bless
 
Si hivyo kwa huyo jirani yako huenda hakuwa na imani ya uponyaji, aisee wako watu wamepata tiba toka kwa babu na wanatoa shuhuda, ni sawa na malaria kuna anaetibiwa na chloroquine na kuna asiyetibika na chloroquine lkn wote wanaumwa malaria. Hivyo acha kuhukumu kazi hiyo tumwachie Muumba.
 
Hahahahahahahah
Kuna vichekesho duniani dahhh
Hatari..Bora mi nibaki kuwaamini
ma doctor na Mungu wangu.
 
Nagundua yafuatayo
1. Kuna wa2 hawapendi mchango mkubwa wa babu mfn hao wachungaji na wengineo wengi.
2. Huyo binti hakuwa na pepo alikuw anaigiza 2
3. Watu wameshaanza kuutambua ukwel wa roho mtaktf aliemuotesha babu ndo mana wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha anakata tamaa, lakini washindwa,
4. Wambea lazima washindwe kwani babu hajiongozi bali roho mtktf
5. Mchango wa babu unakubalika ndo mana anakutana na vikwazo/changamoto.

Roho mtakatifu unamjua? Tuelezee utendaji wa kazi zake huyo Roho mtakatifu, kuhusiana na Mungu na miujiza kama hiyo ya babu. Huyo binti aliigiza ili iweje? fafanua; au alitumwa na Babu?
 
Kwanza we Shalobaro, Pole!! Hata nini maana ya Neno la Mungu hujui!! Neno ni nani hujui!! Anaponyaje hujui!! Pamoja na bidii yako kusali misa ya kwanza, bado unahitaji sana kujifunza ili umjue babu anafanya kazi gani na ya nani. Si kila ndoto yatoka kwa MUNGU. Yupo vilevile mungu wa dunia hii, ambaye yeye kaz yake ni miujiza tu bila ya kuwaongoza watu kutubu dhambi zao na kwenda Mbinguni!! (Luk1:77) Ambaye ndiye mungu wa Ambilikile. Kaka kuponya kusikuthibitishie kuwa babu ni mtumishi wa Mungu aliye hai. Ungekuwa jirani ningekuambia. Click my user name kuna email yangu.

kuna uwezekano mkubwa kuw we ni mpinga kristo, hata kina paul na sila walifanya kaz kwa kufunuliwa, jifunza vipindi vya kazi ya mungu kwa kuzingatia agano jipya na la kale, usiwe mbishi.
 
why are we so divided and confusing each other?
A muslim says a christian must be a Muslim for him/her to go to heaven.
Kakobe says all Catholics should go to his church for them to go to heaven,
Mzee wa upako the same, miss Judith, Rwakatare..... and the List goes on.
Some say Babu is sent by God while others says the Opposite.
God we need your mercy, please open our eyes.

Yes, that is the reality! It has been written that at the end there will be some confusions, even sometimes other wil cal themselves that they are christ, but keep in your mind that religion in fact is not the way to heaven, you are matured enough hence you can make the best choice of your life. Follow your dignity.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom