Pepo awakaribisha watu kwa babu, Makubwaa

Kuna vikombe zaidi ya 10 kutoka kwa watu kadhaa wanaosema wameoteshwa na Mungu lakini watu wanapiga kelele mpaka mapovu yanawatoka mdomoni kushambulia kikombe cha loliondo!! Kwa nini Loliondo peke yake? Mbona vya wengine hamsemi? Au hao wengine sio tishio kwenu?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom