Pengine Umeshalishwa....

Mboa watu hamtaki kuwa wawazi? wangapi mnaenda chumvini wakati demu wako kamaliza period yake jana yake tu? Mnaishia kula mabakimabaki!!!!!!!!!!!! kwi kwi kwi! Kimsingi haina kinyaa kiasi hicho km jamaa alikuwa anaenda kunako chumvi.
 
Hata chumvini, ukifikiria sana ni kuchafu na kunatia kinyaa. Hata kufanyana na kwenyewe ni kinyaa. Ndio maana kuna msemo wa kizungu (at least kwa baadhi ya Wamarekani) unaoelezea tendo hilo kama 'doing the nasty'....
 
yukheeeey! ehh Mungu pitishia mbali kizazi hiki...looh kinyaa kila kitu,itafikia miaka mtakuja kula miili ya wapendwa wenu wakishatangulia mbele ya haki.
 
Hata chumvini, ukifikiria sana ni kuchafu na kunatia kinyaa. Hata kufanyana na kwenyewe ni kinyaa. Ndio maana kuna msemo wa kizungu (at least kwa baadhi ya Wamarekani) unaoelezea tendo hilo kama 'doing the nasty'....

Mkuu kuna zingine ni nzuri mno kwa sura na zinashawishi,zingine zinatisha na kukatisha tamaa.
 
ndio maana mie najipikia mwenyewe au kula kwa mama lishe, sababu pale huwa huwa naona live kuanzia jikoni hadi mezani, ila vibaya tunakula vingi sana!

Ah mkuu acha kabisa kuna ile iliyotokea Tanga, bachelor mmoja alihamishiwa kule Tanga kikazi akawa anakula kwa mama lishe ambaye alimwekea 'vitu' ili awe anakula pale kila siku kwa kuwa alikuwa anatoa tip kubwa . Baada ya muda jamaa katangaza ndoa kabisa pale mbaya zaidi akafikia hatua ya kumwacha mkewe (alomwacha Dar) na watoto wawili. !! Ah hata hapo si safe mheshimiwa bora ujipikiege mwenyewe tu.
 
Hata chumvini, ukifikiria sana ni kuchafu na kunatia kinyaa. Hata kufanyana na kwenyewe ni kinyaa. Ndio maana kuna msemo wa kizungu (at least kwa baadhi ya Wamarekani) unaoelezea tendo hilo kama 'doing the nasty'....

Ndiyo mjue kuwa hiyo shughuli was specifically for procreation.Sasa watu wamefanya starehe, wakazoea hadi kukinai..na sasa wanatafuta kila aina ya uchafu kuendekeza tamaa zao za mwili.
What a depraved society!
 
Watu wamefanya starehe kwa sababu it feels good! It's one of the best stress relievers even though it's nasty
 
Mboa watu hamtaki kuwa wawazi? wangapi mnaenda chumvini wakati demu wako kamaliza period yake jana yake tu? Mnaishia kula mabakimabaki!!!!!!!!!!!! kwi kwi kwi! Kimsingi haina kinyaa kiasi hicho km jamaa alikuwa anaenda kunako chumvi.

Hilo la kukwepa 'mabaki baki' njemba mmoja alidai haendi chumvini mpaka siku 5 zipite baada ya mgeni kuondoka na haendi chumvini siku 5 kabla ya mgeni kuwasili ili kutokukutana na ajali kazini. Kuna watasha inadaiwa wanaenjoy hii kitu hata kama yule mgeni bado ametinga nyumbani na wake zao au magirlfriends huwaruhusu washuke chumvini bila matatizo. Ewwwwwwww Yuckkkkkkkkkkkk :(
 
sasa hiyo ni uchu wa ngono, mtu unaenda chumvini angali mtu bado yupo na mgeni! wanaume mna uchu sana.
 
Kuna watasha inadaiwa wanaenjoy hii kitu hata kama yule mgeni bado ametinga nyumbani na wake zao au magirlfriends huwaruhusu washuke chumvini bila matatizo. Ewwwwwwww Yuckkkkkkkkkkkk :(

Sasa wewe Bubu unaanza kuleta stori zako za kutunga mwenyewe!! Huna akili kabisa wewe...Lol
 
Ha ha ha Aisee hii nilisoma kwenye mtandao mmoja wa Wazungu ambao una umaarufu mkubwa sana duniani. Wale wanawake waliodai hivi walishambuliwa sana kwa kuwaruhusu waume zao wafanye tendo kama hilo wakati mgeni wao katinga, lakini wenyewe hawakuona kama wamefanya jambo lolote baya njemba imetaka kwenda chumvini ikaambiwa kuna mgeni jibu lake ...SO WHAT!? mama ikabidi atoe RUKHSA! :(
 
Hivi usipoenda chumvini demu atakuacha?

Anaweza akadhani labda humpendi....

Ila sio mademu wote wanapenda kuendewa chumvini...kuna wengine wengi tu ambao wako conscious sana na kumwachia mtu kuwashambulia kwa ulimi kule sehemu sehemu....
 
Hilo la kukwepa 'mabaki baki' njemba mmoja alidai haendi chumvini mpaka siku 5 zipite baada ya mgeni kuondoka na haendi chumvini siku 5 kabla ya mgeni kuwasili ili kutokukutana na ajali kazini. Kuna watasha inadaiwa wanaenjoy hii kitu hata kama yule mgeni bado ametinga nyumbani na wake zao au magirlfriends huwaruhusu washuke chumvini bila matatizo. Ewwwwwwww Yuckkkkkkkkkkkk :(

Jamvi litachafuka sasa hivi maana naona kuna watu wengi wameshikwa na kichefuchefu karibu watatapika.
Ndugu.. hebu punguzeni vichefuchefu humu...bado tuna mengi ya kujadili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom