Mwanaume akijua hizi kazi kuoa ni tabu sana

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu niwape pole sana kwa taarifa zilizotufikia

Wakuu wangu kuna kazi ambazo mwanaume akizijua na kuzifanya kwa weledi wa hali ya juu basi kuoa ni kazi sana

* Kuosha viombo vingae na kusugua sufuria kwa weledi

*Kupika pishi tamu kushinda hata mwanamke

*Kufua nguo , tena unakuta anarundika na anaratiba yake maalumu ya kufua na anang'arisha pasi na shaka lolote

* Kupiga deki kwa kuinama kama tuonavyo kwa wake zetu

* Kuweka chumba katika hali ya usafi wa hali ya juu mpaka mwanamke akiingia anatetemeka

* Kuchambua mboga, kukata mboga, kukata vitunguu, kuchambua mchele , maharage na vitu vingine vinavyofanana na hivyo

* Kupika chai asubuhi na kunywa kabla ya kwenda kazini / kibaruani/ mihangaikoni

Nyongeza;: anajua kazi zote na bado ukute anapata mbususu za kumfanya ajisikie ahueni

Huyu haoi kabisa na akioa labda kakumbushwa sana na masela pamoja na ndugu jamaa na wazazi na bado hata akioa utakuta hatoki jikoni kirahisi rahisi hakika
 
Kijana wa hovyo kabisa, tena hovyo grade one...😕 kwanza taku tandika khelbu sasa hivi..☹️
Na nione umenijibu ndipo utanitambua...😐
 
Ndugu zangu niwape pole sana kwa taarifa zilizotufikia

Wakuu wangu kuna kazi ambazo mwanaume akizijua na kuzifanya kwa weledi wa hali ya juu basi kuoa ni kazi sana

* Kuosha viombo vingae na kusugua sufuria kwa weledi

*Kupika pishi tamu kushinda hata mwanamke

*Kufua nguo , tena unakuta anarundika na anaratiba yake maalumu ya kufua na anang'arisha pasi na shaka lolote

* Kupiga deki kwa kuinama kama tuonavyo kwa wake zetu

* Kuweka chumba katika hali ya usafi wa hali ya juu mpaka mwanamke akiingia anatetemeka

* Kuchambua mboga, kukata mboga, kukata vitunguu, kuchambua mchele , maharage na vitu vingine vinavyofanana na hivyo

* Kupika chai asubuhi na kunywa kabla ya kwenda kazini / kibaruani/ mihangaikoni

Nyongeza;: anajua kazi zote na bado ukute anapata mbususu za kumfanya ajisikie ahueni

Huyu haoi kabisa na akioa labda kakumbushwa sana na masela pamoja na ndugu jamaa na wazazi na bado hata akioa utakuta hatoki jikoni kirahisi rahisi hakika
Mkuu
Mimi nafanya vyote hivyo na bado nikaingia mtegoni nikaoa.

Nasubiri kifo kininasue mtegoni😀
 
Mtiti wa kuosha vyombo kwa wengi ni sababu ya soo tu la kuonwa na majirani unaona jau
ila mabachela wa geti kali maisha ni lami.

Vitafunwa pekee ndiyo big deal kuandaa na hayo mambo ya kudeki umeinama hayapo sana siku hizi.
 
Back
Top Bottom