Vijana wa kiume tujifunze kitu kupitia aliyopitia Mr. Ibbu

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,208
5,443
Mlolongo wa matukio kabla Mr Ibu hajafariki

Baada ya kupeana talaka na mke wake wa kwanza, mwanamke huyo akapita na pesa zote za jamaa bank.
Mke wa pili naye ikafikia mahali anamshitaki Ibu kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa
Huyu mzee ikafika hatua tena akaanza kuumwa kisukari
Baadae alikuwa na ugonjwa wa damu kuganda kwenye mishipa ya damu iliyokufa mguuni
Huyu mzee alichangiwa pesa za matibabu binti yake kapita nazo zote
Mkewe bado alimuomba iPhone 15 alipokuwa yupo anaelekea kukata moto
Aliuza mali zake zote, Mguu wake ukakatwa
Mwishowe, anakufa akiwa ameachwa bila mke, hana mali, hana pesa na hana miguu

Baada ya kufa mwanae naye anabadili jina la akaunti ya tiktok yenye likes 3.9M kuwa yake.

Aise Fear Women
KATU TUSIWAAMINI SANA WAKE ZETU NA WATOTO WETU

NASISI VIJAN TUSIKAZINIE MALI ZA WAZAZI WETU🥸
KARMA IS REALLY
1709455139346.jpg
 
Aisee hao watoto hawana aibu jamani??

Sasa hio tiktok daab by the way alikua star why hakua na mwanasheria wake??
 
Mlolongo wa matukio kabla Mr Ibu hajafariki

Baada ya kupeana talaka na mke wake wa kwanza, mwanamke huyo akapita na pesa zote za jamaa bank.
Mke wa pili naye ikafikia mahali anamshitaki Ibu kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa
Huyu mzee ikafika hatua tena akaanza kuumwa kisukari
Baadae alikuwa na ugonjwa wa damu kuganda kwenye mishipa ya damu iliyokufa mguuni
Huyu mzee alichangiwa pesa za matibabu binti yake kapita nazo zote
Mkewe bado alimuomba iPhone 15 alipokuwa yupo anaelekea kukata moto
Aliuza mali zake zote, Mguu wake ukakatwa
Mwishowe, anakufa akiwa ameachwa bila mke, hana mali, hana pesa na hana miguu

Baada ya kufa mwanae naye anabadili jina la akaunti ya tiktok yenye likes 3.9M kuwa yake.

Aise Fear Women
KATU TUSIWAAMINI SANA WAKE ZETU NA WATOTO WETU

NASISI VIJAN TUSIKAZINIE MALI ZA WAZAZI WETU🥸
KARMA IS REALLY View attachment 2922883
NIMEKUPATA KAKA MKUBWA, KAMANDA, HAWA MA SHE NI KUISHI NAO KIJESHI JESHI,
 
Mzee mbona kama alikuwa pekee yake sasa, hakuna watu wa kumsapoti kuanzia ndugu, familia yake au ilikuwaje?
 
Mlolongo wa matukio kabla Mr Ibu hajafariki

Baada ya kupeana talaka na mke wake wa kwanza, mwanamke huyo akapita na pesa zote za jamaa bank.
Mke wa pili naye ikafikia mahali anamshitaki Ibu kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa
Huyu mzee ikafika hatua tena akaanza kuumwa kisukari
Baadae alikuwa na ugonjwa wa damu kuganda kwenye mishipa ya damu iliyokufa mguuni
Huyu mzee alichangiwa pesa za matibabu binti yake kapita nazo zote
Mkewe bado alimuomba iPhone 15 alipokuwa yupo anaelekea kukata moto
Aliuza mali zake zote, Mguu wake ukakatwa
Mwishowe, anakufa akiwa ameachwa bila mke, hana mali, hana pesa na hana miguu

Baada ya kufa mwanae naye anabadili jina la akaunti ya tiktok yenye likes 3.9M kuwa yake.

Aise Fear Women
KATU TUSIWAAMINI SANA WAKE ZETU NA WATOTO WETU

NASISI VIJAN TUSIKAZINIE MALI ZA WAZAZI WETU🥸
KARMA IS REALLY View attachment 2922883
Mimi mara kadhaa nimechangia hoja zinaxofana na hii kuwa wanaume wengi hasa wa mijini ni wajinga linapokuja suala la mapenzi. Wataendelea kunyang'anywa mali kuteseka uzeeni kwa sababu ya upumbavu wa ujanani. Mtu unakubali kuishi ndoa nyonyaji miaka kibao halafu unategemea huko mbeleni ndio mambo yabadilike! Mfano kuna siku nilikaa mahali akaja mtu mmoja akasema kuwa mkewe akipata mshahara akiwapa ndugu zake kisha baada ya muda mfupi anaishiwa inabidi yeye mume ampe pesa za nauli na kula kazini. Tena jamaa anazungumza sio kwa kulalamika bali kama ufahari fulani hivi. Yaani mke anafanya kazi halafu asichangie matumizi ya nyumbani halafu bado atoe pesa kumuongezea akatumie kazini ujinga ulioje! Halafu siku akifilisika ndio aje alalamike kuwa mkewe kamtelekeza au kagoma kutoa hela yake itumike nyumbani.

Wanaume wajinga wacha waendelee kuteseka ukubwani au uzeeni.
 
Mlolongo wa matukio kabla Mr Ibu hajafariki

Baada ya kupeana talaka na mke wake wa kwanza, mwanamke huyo akapita na pesa zote za jamaa bank.
Mke wa pili naye ikafikia mahali anamshitaki Ibu kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa
Huyu mzee ikafika hatua tena akaanza kuumwa kisukari
Baadae alikuwa na ugonjwa wa damu kuganda kwenye mishipa ya damu iliyokufa mguuni
Huyu mzee alichangiwa pesa za matibabu binti yake kapita nazo zote
Mkewe bado alimuomba iPhone 15 alipokuwa yupo anaelekea kukata moto
Aliuza mali zake zote, Mguu wake ukakatwa
Mwishowe, anakufa akiwa ameachwa bila mke, hana mali, hana pesa na hana miguu

Baada ya kufa mwanae naye anabadili jina la akaunti ya tiktok yenye likes 3.9M kuwa yake.

Aise Fear Women
KATU TUSIWAAMINI SANA WAKE ZETU NA WATOTO WETU

NASISI VIJAN TUSIKAZINIE MALI ZA WAZAZI WETU🥸
KARMA IS REALLY View attachment 2922883
Muogopw hasa mwanamke mweupe.

Katika kila mwanaume aliyefilisika kuna mwanamke mweupe 97%
 
  • NImekutana na Yf, 2010 Feb tukawa wapenzi
  • 2011 August tukapata mtoto.
  • 2012 alifanya kitendo (kidogo tu) kikaniondolea imani kabisaa juu yake but sikumuacha nikasamehe ila sijasahau
  • 2015 May nikafunga nae ndoa takatifu
  • 2016 July tukazaa mtoto wa pili
  • 2018 Aug tukazaa wa 3
  • 2022 Dec tukazaa wa nne na wa mwisho
  • sijawahi kusahau tukio la 2012
  • sijawahi kumuamini tena mpaka kesho
  • hainisumbui kichwa ila i never forget somo la 2012, pale huwa naamini Mungu alinionyesha utu wake halisi

NB
Mpaka leo tunaishinkwa furaha tu na amani wala ndoa haina tatizo, japo ushauri kwa vijana ni kwamba
Kuna vitu sio vya kupuuzia kabisa, na unapovipuuzia na kuona kama normal, unajikuta una lower your guard na mwisho wa siku yanakukuta kama haya ya Mr. Ibbu.
 
  • NImekutana na Yf, 2010 Feb tukawa wapenzi
  • 2011 August tukapata mtoto.
  • 2012 alifanya kitendo (kidogo tu) kikaniondolea imani kabisaa juu yake but sikumuacha nikasamehe ila sijasahau
  • 2015 May nikafunga nae ndoa takatifu
  • 2016 July tukazaa mtoto wa pili
  • 2018 Aug tukazaa wa 3
  • 2022 Dec tukazaa wa nne na wa mwisho
  • sijawahi kusahau tukio la 2012
  • sijawahi kumuamini tena mpaka kesho
  • hainisumbui kichwa ila i never forget somo la 2012, pale huwa naamini Mungu alinionyesha utu wake halisi

NB
Kuna vitu sio vya kupuuzia kabisa, na unapovipuuzia na kuona kama normal, unajikuta una lower your guard na mwisho wa siku yanakukuta kama haya ya Mr. Ibbu.
Share hicho kitu na sisi tujifunze kiongozi
 
Back
Top Bottom