Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
2015
1)Samwel Sitta
2)Anna Malechela
3)Ole Sendeka
4)Shibuda(NAAMINI MOYO WAKE NI CCM BADO)
5)Dk Harrson Mwakyembe .
Kwani tofauti kabisa walivyokuwa katika Utawala wa Mh Sitta. Walikuwa wameweka wazi msimamo wao kuibana Serekali kuhusu mambo ya misamaha ya kodi, huduma mbovu na sikuwahi kuwasikia wakiwaponda wapinzani wao kisiasa. LKN wamekuja na mbiu mpya ya kuwaponda wapinzani.
Lkn Tangu Uchaguzi umalizike na kuingia kwa mara nyengine bungeni. hawa wabunge Kinyume nyume. watetezi na sio Tena wale.
Hubadilika badilika
Wasiwasi wangu.
Nahofia wakirudi Tena Bungeni sijui watakuwa mlengo gani kwa taifa letu. naogopa kusema wanaweza hata kuiza Tanzania yetu kwa wageni. pindi wakipewa uwaziri Mkuu au hata Uwanasheria kwani hawana msimamo thabiti wa juu ya tafa ketu. yaani inawezekana maslahi Vyeo na mali na sio maslahi taifa