Pendekezo. Wabunge hawa wa ccm wasirudi bungeni

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
2015
1)Samwel Sitta
2)Anna Malechela
3)Ole Sendeka
4)Shibuda(NAAMINI MOYO WAKE NI CCM BADO)
5)Dk Harrson Mwakyembe .

Kwani tofauti kabisa walivyokuwa katika Utawala wa Mh Sitta. Walikuwa wameweka wazi msimamo wao kuibana Serekali kuhusu mambo ya misamaha ya kodi, huduma mbovu na sikuwahi kuwasikia wakiwaponda wapinzani wao kisiasa. LKN wamekuja na mbiu mpya ya kuwaponda wapinzani.
Lkn Tangu Uchaguzi umalizike na kuingia kwa mara nyengine bungeni. hawa wabunge Kinyume nyume. watetezi na sio Tena wale.
Hubadilika badilika

Wasiwasi wangu.

Nahofia wakirudi Tena Bungeni sijui watakuwa mlengo gani kwa taifa letu. naogopa kusema wanaweza hata kuiza Tanzania yetu kwa wageni. pindi wakipewa uwaziri Mkuu au hata Uwanasheria kwani hawana msimamo thabiti wa juu ya tafa ketu. yaani inawezekana maslahi Vyeo na mali na sio maslahi taifa
 
1)Samwel Sitta
2)Anna Malechela
3)Ole Sendeka
4)Shibuda
5)Dk Harrson Mwakyembe .

Kwani tofauti kabisa walivyokuwa katika Utawala wa Mh Sitta. Walikuwa wameweka wazi msimamo wao kuibana Serekali kuhusu mambo ya misamaha ya kodi, huduma mbovu na sikuwahi kuwasikia wakiwaponda wapinzani wao kisiasa. i
Lkn Tangu Uchaguzi umalizike na kuingia kwa mara nyengine bungeni. hawa wabunge Kinyume nyume. watetezi na sio Tena wale.
Hubadilika badilika

Wasiwasi wangu.

Nahofia wakirudi Tena Bungeni sijui watakuwa mlengo gani kwa taifa letu. naogopa kusema wanaweza hata kuiza Tanzania yetu kwa wageni. pindi wakipewa uwaziri Mkuu na sehemu nyeti za madaraka kwani hawana msimamo thabiti wa juu ya tafa ketu. yaani inawezekana maslahi Vyeo na mali na sio maslahi taifa

Hahahahahaha .... haaaaaaaaahahahahaha ..... duhhhhhh!
 
Mkuu sijui kama unaelewa kwamba wanasiasa wote wanapigania milo yao!! Sitta kwa sasa yupo serikalini na kuna wakati anakaimu u waziri mkuu sasa unataka mungu ampe nini baada ya kuenguliwa kwenye uspika na kupoozwa na uwaziri!! Mwakyembe yupo serikalini anapata marupurupu na miposho; unataka afanye nini!! Imeandikwa katika maandishi matakatifu kwamba "Wakampiga Mchunga Kondoo na Kondoo wakatawanyika." Akina Anna na Sendeka hawana mchungaji!!! Mchungaji wao alishapigwa na wao wametawanyika!!!

Shibuda simsemei!!
 
kama unamaana mpaka 2015 basi inabidi mambo mengine yabaki kama yalivyo (wasife, wasijiuzulu wala kufukuzwa). Na kama ni muda wowote fursa itakapotokea ya kufanya uchaguzi kwenye majimbo yao basi mtizamo wako sio Mbaya sana, lakini unatakiwa uiongeze hiyo list.

Na kama upo serious zaidi basi inabidi kuanzisha awareness campaign kwenye kila jimbo ili wananchi waamke, sio kusubiri 2015. Anza na Igunga
 
Mkuu sijui kama unaelewa kwamba wanasiasa wote wanapigania milo yao!! Sitta kwa sasa yupo serikalini na kuna wakati anakaimu u waziri mkuu sasa unataka mungu ampe nini baada ya kuenguliwa kwenye uspika na kupoozwa na uwaziri!! Mwakyembe yupo serikalini anapata marupurupu na miposho; unataka afanye nini!! Imeandikwa katika maandishi matakatifu kwamba "Wakampiga Mchunga Kondoo na Kondoo wakatawanyika." Akina Anna na Sendeka hawana mchungaji!!! Mchungaji wao alishapigwa na wao wametawanyika!!!

Shibuda simsemei!!

kimbunga mbona umepotea sana!!tumemis comment zako mkuu!
 
kimbunga mbona umepotea sana!!tumemis comment zako mkuu!

Mambo mengi: Nilienda shamba kulima na huko REA haifanyi kazi yoyote kwa hiyo umeme hakuna. Minara ya simu hakuna na mkongo wa taifa haujafika huko. Mkuu nimerudi na nipo tele.
 
Mambo mengi: Nilienda shamba kulima na huko REA haifanyi kazi yoyote kwa hiyo umeme hakuna. Minara ya simu hakuna na mkongo wa taifa haujafika huko. Mkuu nimerudi na nipo tele.

wewe ni mmojawapo wa member nasoma sana comment zao,wengine nawajua mwenyewe,
swala la umeme limekuwa janga la taifa lakini nashangaa serikali haitaki kujiuzulu
labda wanataka tuwatowe kwa nguvu ya umma!
 
HAO WOTE NI WANAFKI NA WANA NJAA KALI,ILA KINACHONIUMIZA ZAIDI NI UNAFKI NA UJINGA WA WANANCHI WANAOWACHAGUA,MAANA HATA TUSEMEJE KAMA YALE MAJINGA KULE YATOKAKO YATAENDELEA KUWACHAGUA NO WAY OUT YATARUDI TUU

NI WANAFKI WAKUBWA WAOGA NA WANASUMBULIWA NA MATUMBO YAO

njaa kali POLITICIANS
 
Bottom line ni Kwamba Sita sio material ya kuwa PM ni kwa bahati mbay sana alikuwa Spika...nadhani mnajua alikuwa spika kwa sababu ya kuwa na uwezo wa kuliongoza bali kwa sababu he has been around the government cycles long enough..ni hilo tu
 
NILIKUWA NAMUAMINI SITTA KWA KIASI ILA KAULI ZAKE ZA HIVI KARIBUNI ZIMEONYESHA JINSI ANAVYOUMWA AKILI

KUMBE UNAWEZA KUWA MTU MZIMA MWENYE AKILI ZA MTOTO WA MIAKA MIWILI,

jamaa kazeeka AKILI
 
I think you should first put your house in order before throwing any derogatory remark against CCM. Are you done with Shibuda and Zitto's matters already? Only then you should come up with your mawkish criticicm.
 
Hakuna mbunge hata mmoja wa ccm anatakiwa arudi bungeni, hawana lolote wanalosaidia wananch zaid ya kujibu ndiyooo na siyooo na kugongagonga meza km walevi huku nch inateketea,wapinzani wakitoa hoja za msingi kwa maslai ya taifa wao wanapinga kwa uwezo wao wote ili tu wahakikishe wanalinda maslai yao, miaka 50 ya uhuru nchi iko gizani badala waungane na wenzao wa cdm kumbana ngeleja upatikane muafaka wa umeme wao wanamteteakwa kuunga mkono upuuzi anaofanya, tazama janga lingine la njaa lainyemelea tanzania na bahati mbaya kabisa kusipokuwa na umeme na watanzania hatupati fenda za kujiku kununua chakula nchi za jirani, yote haya ni matokeo ya wabunge wa ccm kuchumia matumbo yao, hakuna mmbunge wa ccm anayestahik kurudi bungeni waende zao huko, chagua cdm, nccr,cuf,dp nk. Achana na ccm hawana jipya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom