Pedeshee 'Ndama mtoto wa ng'ombe' kortini kwa kutakatisha fedha

2011

JESHI la Polisi nchini linamshikilia mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Ndama Shabani (38) au Ndama mtoto wa Ng'ombe kwa tuhuma za kukutwa na gari la wizi. Pamoja na Ndama, wengine wanaoadaiwa kuhusika na wizi huo ni Sylvester Mashindila (45), Richard Marimi (46), Peter Goyayi (30) au Makoye wakazi wa Mwananyamala kwa Kopa na Charles Mwita (43) mkazi wa Kinondoni.
Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Kamishna Msaidizi wa Polisi na Kamanda wa Kanda Maalum Suleiman Kova alisema watuhumiwa hao walipora gari aina ya Hino lenye namba FDIJKD 11185 maeneo ya Tunduma mkoani Mbeya.
Kova alisema kikosi Maalum cha Kupambana na Wizi wa Magari ya Kanda Maalum ya Dar es Salaam kilifanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao wanaodaiwa kumnywesha dawa za kulevya aliyekuwa dereva wa gari hilo kabla ya kumpora.
Alisema gari hilo lilibeba bidhaa mbalimbali vikiwemo vitanda vinne, magodoro, majokofu, makochi na majiko ya umeme ambapo watuhumiwa hao baada ya kutenda tukio hilo walikimbilia mafichoni jijini Dar es Salaam na kuvihifadhi vitu hivyo Mbezi nyumbani kwa Ndama.

Source: Tanzania Daima

Ngoja tuone
 
Wakuu wabobezi wa Sheria, hivi hilo shtaka namba 5 & 6 yanaqualify kuwa "kutakatisha fedha".. Maana nahisi kama ilipaswa kubaki kuwa "kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu".. Sitaki kuamini yani kitendo cha kwenda kufanya deposit bank ya ile hela ndio charge imegeuka kuwa money laundering?? Mbona kama mashikoromageni!! Au maPP wamefanya hivyo kama technique ili tu jamaa akose dhamana aendeshe kesi akiwa mahabus??

Maana hawa watoto wa mjini nawafahamu ni noma sana, wanaweza hata "kusimamisha mvua" ili mradi tu wafanye mambo yao..

Ila wapigaji wa Bongo ni maboya sana! Yani wanapata hela kiujanja ujanja, lakini mbwembwe nyingiiiiii... Kila bendi imiimbe yeye, kila malaya wa town at*mb* yeye.. Yani mabwege sana hawa majamaa.. Piga mtonyo, piga kimya.. Wanakula na kipofu alafu wanamshika mkono!! Brainless..
 
Harry, Soshe Sinare na yule jamaa mwingine walikua na mashtaka kama haya, mwanzoni wakanyimwa dhamana ila wanasheri wetu wakaonesha wazi hawana uzoefu na kesi za mtindo huu mpaka hawa watatu wakapata dhamana (sijui sasa hivi kesi yao inaendaje).

Nahisi na huyu akiwa na mawakili wazuri dhamana itakuja tu polepole, wakati watu kama hawa ni adui wa kila raia wanahitaji adhabu kali (China huwa wananyonga).
Nani amekwambia habari hizo.wenzio wameshukuru mungu tayari.mama Kitilya kaonekana kwa joshua
 
Wakuu wabobezi wa Sheria, hivi hilo shtaka namba 5 & 6 yanaqualify kuwa "kutakatisha fedha".. Maana nahisi kama ilipaswa kubaki kuwa "kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu".. Sitaki kuamini yani kitendo cha kwenda kufanya deposit bank ya ile hela ndio charge imegeuka kuwa money laundering?? Mbona kama mashikoromageni!! Au maPP wamefanya hivyo kama technique ili tu jamaa akose dhamana aendeshe kesi akiwa mahabus??

Maana hawa watoto wa mjini nawafahamu ni noma sana, wanaweza hata "kusimamisha mvua" ili mradi tu wafanye mambo yao..

Ila wapigaji wa Bongo ni maboya sana! Yani wanapata hela kiujanja ujanja, lakini mbwembwe nyingiiiiii... Kila bendi imiimbe yeye, kila malaya wa town at*mb* yeye.. Yani mabwege sana hawa majamaa.. Piga mtonyo, piga kimya.. Wanakula na kipofu alafu wanamshika mkono!! Brainless..
Wali-deposit then wakatoa zote. Hapo ndio money laundering Inaanza.
 
1.predeshee Ndama mutoto ya ng'ombe
2.Predeshee Papah msofe
3.Predeshee Muzamir katunzi
4.nk
Wote Hawa mataperi na wauza bwimbwi wakubwa pumbafu zao wasakwe wote..

Drug dealers mmoja baada ya mwingine. Wakifika kwa Zari msishangae, hawa wauza madawa wamejificha sana kwenye Muziki na wanamuziki wake

Kama unaishaid mpelekeni mahakani....kauli ya 2015 kipindi cha uchaguziii!!!,mahaba ni hatari sana.
 
Mkuu;
Ni haki yenu kuwakataa sasa hivi kwa kuwa wamepanda ulingoni mwa sharia lakini tunajua wazi kuwa wakikaguliwa hutawakuta na kadi ya Chadema bali ni ya lile lichama kongwe. Sipendi kuzungumzia vyama vya siasa kwa kuwa sina chama lakini sipendi pia kuona mtu akiwataja wengine wasio husika.
Wote tunajua hilo lichama kongwe lilikokuwa labla ya 2015.

Hauna chama bado unaonesha jazba na kusema lichama likongwe?,,,,hacha kujichubua makusudi mkuu!!
 
Hili kundi lao wametapeli sana ..dhahabu, nyumba, magari etc ...wakiwa na marehemu Aurora....wangekuwa na akili wangeanzisha hata kiwanda hayo mabilioni wao walikuwa ni totoz bendi na kuzitumbua tuu sasa mwisho umefika!
 
Back
Top Bottom