Pedeshee 'Ndama mtoto wa ng'ombe' kortini kwa kutakatisha fedha

Bill gates katunzi,Muzamiri Nakutakia maisha mema na mola akusimamie katika kazi zote umekuwa mstari wa mbele kusaidia wenzio endelea na moyo hiyo muzuri muzamiri uwe mfano wa kuigwa.

Binadamu wakiona una mafanikio watakukatisha tamaa songa mbele usigeuka nyuma ndio dunia mie najua tumetoka mbali sana king kong ni siri yako sio wote watakupenda,Tenda Mema usingoje shukrani cheka na watu wote Muzamiri Katunzi.

====================================================

MAPAPA KWISHA KWISHA KABISA NYANG'ANYANG'A NDEMBENDEMBE MLALO WA CHALI KIFO CHA MENDE.
====================================================
 
Acha wapotee! yaani walifikia kuwaweka "bonds " ndugu zao na zetu kisa mugo na 'ngada'na tamaa za kishetani!
 
Back
Top Bottom