Pedeshee 'Ndama mtoto wa ng'ombe' kortini kwa kutakatisha fedha

Hawa ndio wafadhili wakubwa wa chadema


Mkuu;
Ni haki yenu kuwakataa sasa hivi kwa kuwa wamepanda ulingoni mwa sharia lakini tunajua wazi kuwa wakikaguliwa hutawakuta na kadi ya Chadema bali ni ya lile lichama kongwe. Sipendi kuzungumzia vyama vya siasa kwa kuwa sina chama lakini sipendi pia kuona mtu akiwataja wengine wasio husika.
Wote tunajua hilo lichama kongwe lilikokuwa labla ya 2015.
 
Sasa hv tutarajie zaidi vitendo vingi vya namna hii hapa tz ukizingatia vijana wengi wana shule zao,ajira hakuna,ajira itakayobakia ni ya utapeli tu
 
Harry, Soshe Sinare na yule jamaa mwingine walikua na mashtaka kama haya, mwanzoni wakanyimwa dhamana ila wanasheri wetu wakaonesha wazi hawana uzoefu na kesi za mtindo huu mpaka hawa watatu wakapata dhamana (sijui sasa hivi kesi yao inaendaje).

Nahisi na huyu akiwa na mawakili wazuri dhamana itakuja tu polepole, wakati watu kama hawa ni adui wa kila raia wanahitaji adhabu kali (China huwa wananyonga).
Money laundering haina dhamana.
 
Hawauzi na vitu vingine hawa jamaa kweli? Tanzania ya sasa ninaikubali sana. Matapeli hawa walikuwa hawakamatiki...kudhulumu kila uchao
 
Huyu jamaa alikuwa anawaruhusu mashabiki wote wa yanga wale chakula kwenye mgahawa halafu yeye analipa ,kuna siku mamia ya mashabiki wa yanga walipatiwa chakula cha mchana na huyu chalii

Ndama mutoto ya Ng'ombe ,mwanachama kindaki ndaki wa yanga na mmoja wa wafadhili wa yanga
 
NDAMA%2BNA%2BDIDA.jpg
Katikati na mwanachama wa Yanga maarufu kwa jina la Pedezyee Ndama Mtoto wa Ng'ombe akizungumza na kipa Deo Munishi 'Dida'
 
Back
Top Bottom