Tinnvibez
Member
- Oct 27, 2020
- 6
- 4
Habari,
Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement.
Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa nataka kujua kwa wataalamu hapo nifanye namna gani niweze kuwa approved na niweze anza fanya miamala.
Na Address number naweka namba gani?
Shukran In advance.