Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Msikilizeni hapa ,Rais Ajaaye !!.


Wale wa Gesi za Bure, Wizi wa mabando, imeisha hiyo !!.

Anzeni kuwekeza Nje Mdogo Mdogo , ili Muda ukifika, aahhh mnatuachia Nchi yetu.



Makonda akabidhiwa Fimbo ya HAYATI, BABA WA TAIFA, MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE !!
Ukisikia kuwa Tanzania ina wajinga wengi ni kwa mawazo kama ya huyu Carlos The Jackal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom