Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Wakuu kwema?

Nafurahishwa sana na utendaji kazi wa huyu mkuu wangu wa mkoa. Kwakweli mama anaupiga mwingi.

Nilikuwa naomba mwenye CV yake atuwekee ili tujue na kama itawezekana na watoto wetu wafuate nanyo zake.

Asalaam.
 
Cv ya makonda
1).Tarehe- mwaka,- : alimpiga jaji warioba vibao na kuvuruga mkutano wa katiba
2). Mwaka- : alivamia studio za clouds na kulazimisha awekewe kipindi Cha udaku cha

3).
4)-:
 
Back
Top Bottom