Paul James(PJ) na Babra wa Clouds FM mnaboa sana

Na redio kazi yao ni kiwasomea wasikilizaji magazeti?!

Jibu ni ndiyo. Lakini ukweli ni kwamba Radio huwa wanawapatia Wasikilizaji wao muhtasari wa habari siyo kuwasomea habari zote. Hivi Tanzania yanachapishwa magazeti mangapi kila siku, na mtu wa kawaida anaweza kununua idadi gani ya magazeti kwa siku? In fact, I'm pretty sure a majority of listeners love it and tune in every morning to hear what's in the papers for the day, so what's your problem?
 
I never said I had any....or did I?!
 
Yes, its obvious you have an issue with radio programs that present news from newspaper articles.
I don‘t listen to ANY radio station so I really don‘t see why/how I would have any issue with the way Mawingu fm or any other stations run their programs.Na kama ungehangaika kuelewa hicho kilichopelekea uamini kwamba nasumbuliwa na usomaji wao wa magazeti ungegundua kwamba nilikua nauliza swali (with no sarcasm intended) nikitegemea jibu kwasababu mimi sio msikilizaji wa radio.
 
Are you serious? Who do you think you are hadi "[nihangaike] kuelewa hicho kilichopelekea uamini kwamba nasumbuliwa na usomaji wao wa magazeti"?? And if, for whatever reason, you don't happen to be exactly a fan of local Radio shows, what made you come up with the kind of foolish, ignorant statement in the first place instead of just shutting the f*** up like any sensible person would have done?
 
[/FONT said:
By Sizinga]

Nianze tu kusema nimebakiza 5% kusikiliza vipindi vya CloudsFm na hii ni kwenye PowerBreakfast tu na nasikiliza sehemu
ya Jicho la ng'ombe(), Bonge na habari za magazetini(PJ) na badae naizima au natune radio nyingine.

Kinachonishangaza huyu PJ sijui nani anamsomea haya magazeti?? na kama umetumwa kumsomea mtu/watu flani ni bora useme tujue. Habari nyingi za front page hasomi kwa madai eti za siasa sana na yeye hapendi siasa, sasa huu uadilifu wa kazi yako hapo studio?? kama wewe hupendi na waskilizaji wako je??kwani wewe upo hapo studio kwa ajili yako mwenyewe au la??sasa sikia soma habari zote za siasa kwani unanikwaza/tukwaza wengi sana kwa kurukaruka habari mpya(zisizo jirudia), na ikiendelea hivi basi mnajichimbia kaburi wenyewe.

Huyu Badra kazidisha matangazo jamani, yani anawakatisha mno watangazi wengine then anaweka matangazo ya biashara meeeengi, inaboa sana, matangazo ya biashara na taarifa za msingi hayana ratio, kipindi kinaendesha dakika 1, matangazo dk 5,so boring, mbona PB ya jumamosi haipo hivyo??ila mkikaa nini tu basi taabu tupu.

Nadhani sina muda mrefu nitakuwa nishaihama hii raadio kama mwendo wenyewe utakuwa hivi, coz wakina kibonde nishawaweka blacklist tayari kwa kupwaya kwenye vipindi vyao.

Sizinga inaonekana we hupendi kununua magazeti heee una penda vya bwelelele sana hiyo ni Radio Mkuu

sizinga... Ni Barbara (Babra) sio Badra

Kuhusu gazeti, na mimi naungana na PJ... siasa za bongo ni 90% kamba

Bora hata asome maatangazo hata ya biashara kwenye magaazeti.... all newspapers a biased big time

Hata yale matangazo si wao bali ni idara nyingine ndio inaratibu promosheni/advert/commercial.. wao ni kusoma au kutangaz tu

Nadhani Sizinga atakuwa amekuelewa sana hivi hajui magazeti mengi yame beba 90% ni "Gutter Polictics" by RA
 
Are you serious? Who do you think you are hadi "[nihangaike] kuelewa hicho kilichopelekea uamini kwamba nasumbuliwa na usomaji wao wa magazeti"?? And if, for whatever reason, you don't happen to be exactly a fan of local Radio shows, what made you come up with the kind of foolish, ignorant statement in the first place instead of just shutting the f*** up like any sensible person would have done?

Acheni malumbano (na Lizzy)
 
Clouds ni kijiwe cha vijeba,bnafsi huwa nasikiliza sports xtra saa3 jioni basi,the rest ni udaku,uzushi,misifa n.k...unless otherwise ww ni sharo.... vinginevyo achana na hao mamluki
 
Are you serious? Who do you think you are hadi "[nihangaike] kuelewa hicho kilichopelekea uamini kwamba nasumbuliwa na usomaji wao wa magazeti"?? And if, for whatever reason, you don't happen to be exactly a fan of local Radio shows, what made you come up with the kind of foolish, ignorant statement in the first place instead of just shutting the f*** up like any sensible person would have done?
Hahhahha....what do you know about sensible people?!I know for sure you ain‘t one of them so I don‘t really see how you could recognize one that is.And heyyy learn to defferentiate between a QUESTION which is always followed by a question mark (?????) and a STATEMENT before you start throwing words around pretending to be a real pro.
 
Ohhh, ila mimi kusema kweli 'Power Breakfast' is my favourite in every morning. Napenda kila kitu kwenye kipindi hicho na jinsi wanavyosoma magazeti ni vizuri tuu. Huwa nakosa raha ninapokuwa ninapokuwa nimesafiri kikazi sehemu ambazo Clouds haishiki kama ndani ya the wilderness Serengeti Ecosystem.
Ila nimemiss sana sana ile segment yenu ya 'kudadisi' mlikuwa mnasema "kuperuziiii na Kudadisi". Piga ua PB ya Clouds Fm is the best Jahazi ilikuwa enzi za Gadina na sijakisikiliza siku nyingi sana toka E. Kibonde aniboe. Pongezi sana kwa Babra Hassan, Gerald Hando, Paul James (PJ) na Bonge.
 
....Kinachonishangaza huyu PJ sijui nani anamsomea haya magazeti?? na kama umetumwa kumsomea mtu/watu flani ni bora useme tujue. Habari nyingi za front page hasomi kwa madai eti za siasa sana na yeye hapendi siasa, sasa huu uadilifu wa kazi yako hapo studio?? kama wewe hupendi na waskilizaji wako je??kwani wewe upo hapo studio kwa ajili yako mwenyewe au la??sasa sikia soma habari zote za siasa kwani unanikwaza/tukwaza wengi sana kwa kurukaruka habari mpya(zisizo jirudia), na ikiendelea hivi basi mnajichimbia kaburi wenyewe......

Hata mimi kuna nyakati naona wanapotoka eneo hili. Naamini kama PJ na wenzake wanapita humu wataichukuwa hii kama changamoto kwa mtazamo chanya.
 
Back
Top Bottom