Paul James(PJ) na Babra wa Clouds FM mnaboa sana

Nammisi sana Kipanya ktk powerbreakfast, ilikuwa bonge la combination alipokuwepo masoud kipanya, fina mango na gerald hando.
 
Vituo vya redio Tanzania sasa viko vingapi? Kama hupendi hiki si sikiliza kile....lakini wapi...kila siku Clouds Clouds....endeleeni tu kuwapa free promo....na ukweli wa mambo ni kwamba Clouds wako juu kama mawingu. Take that!

Baelezee!baelezee!
 
Baelezee!baelezee!

Ni ujinga mtupu. Nadhani ni adha za maisha tu ndizo zinazowafanya watu walaumu vitu bila hata kufikiria. Halafu sielewi hili la kila siku Clouds...kama si Clouds basi ni Kibonde...kama si Kibonde basi ni Diva Loveness Love (by the way I love her confidence)...kama si Diva basi Ruge.....kama si Ruge basi Joe...geeeez!! Kama kweli Clouds wangekuwa redio ya hovyo hawa detractors wangeipopoa mawe hivyo? I doubt it. Clouds wanatisha. Wapende wasipende huo ndiyo ukweli.
 
Umesema kweli kabisa nyani, ila mkuu una "share" katika redio ya watu?? manake kila ikiguswa redio mawingu ama mtuyeyote mwenye nasaba na redio hiyo unakuwa mkaaareee!! just curious
 
Umesema kweli kabisa nyani, ila mkuu una "share" katika redio ya watu?? manake kila ikiguswa redio mawingu ama mtuyeyote mwenye nasaba na redio hiyo unakuwa mkaaareee!! just curious

Hahaaa navyowatetea utadhani nina hisa eeeh? Wala sina aisee. They should start paying me for being their de facto surrogate. But seriously, I would fiercely defend anyone whom I think is being unfairly and harshly being attacked.

Kamuulize hata Regia atakuambia nilivyokuwaga namtetea dhidi ya mashambulizi ya Kiranga.
 
Ununuzi wa magazeti unategemea na habari yenyewe, so lazima wasome etlist para moja then wapotezee,sasa ye anadai hii ni siasa siisomi, wht is that??
 
Ununuzi wa magazeti unategemea na habari yenyewe, so lazima wasome etlist para moja then wapotezee,sasa ye anadai hii ni siasa siisomi, wht is that??
That is that! Na kwa nn wasome aya yote? Segment yenyewe ni dk kumi sijui, wanachagua wanachoona kinafaa wanasoma kiduchu basi! Tena segement yenyewe inaitwa 'kuperuzi na kudadisi iduchu tu'.......ww unataka zaidi
 
Hahaaa navyowatetea utadhani nina hisa eeeh? Wala sina aisee. They should start paying me for being their de facto surrogate. But seriously, I would fiercely defend anyone whom I think is being unfairly and harshly being attacked.

Kamuulize hata Regia atakuambia nilivyokuwaga namtetea dhidi ya mashambulizi ya Kiranga.

Kama ndivyo basi nimekukubali mkuu itabidi uwapelekee redio mawingu invoice ili walipe gharama ya utetezi unaojitwika hapa kwa ajili yao ni mkubwa sana kiasi ambacho nilidhani nawe una vijisenti umewekeza pale.

Mh.regia mtema alishawahi kukulipa chochote, nakumbuka ulivyosimama kidete kumtetea.
 
Masahihisho madogo, anaitwa babra sio badra,Ushauri wangu jitahidi kuamka mapema kidogo, tafuta magic fm unasoma magazeti mwanzo mwisho. Ukitoka magic fm hamia RFA unasoma magazeti tena mwanzo mwisho.Ukimalizana na hao sasa unaweza kwenda clouds kusikiliza porojo za babra, hando na pijei.
na ikwezekana kama una luninga fungulia ATN ya Mtume hernandez pale unasomewa kila ki2 na picha unaziona kwnye kioo.Tuache kulalamika ovyo kpindi hiki cha sayansi na teknolojia,..Waacheni wa2 wafanye kazi zao.
 
Ndugu yangu utaishia tuu kuwa shalobalo cse hawa watangazaji wa Clouds wengi wao wanafanya kazi kwa matakwa ya mabosi zao ambao ni mabwana zao,bora uangalie porn
 
Back
Top Bottom