Aliyekuwa mtendaji mkuu wa Atcl ameibuka na kusema kwamba Dr Mwakiembe alidanganya umma kutokana taarifa alizopewa kuwa ni za uongo na zisizokuwa na ukweli wowote.Kwa mfano uniform ziligharimu dola 18,000 tu na sio dola 50,000 kama alivyosema mwakiembe, Bwana chizi alisema pia tatizo ni kwamba kuna watu hawajui chochote kuhusu sekta ya anga lakini wanajiganya kuwa wanajua mbele ya umma.
Chanzo: The Guardian on Sunday
Yes, gharama ya uniform ni usd 18,000 lakini mambo yanayoendana na upatikanaji na hizo uniform kwa mfano wale wawili walioenda china wakakaa siku 45 kwa sababu ya hizo uniform walitumia dola ngapi?
kupata gharama ya nyumba sio tu pesa ngapiumelipa kwa cement ila hata ulizomlipa fundi unatakiwa uzijumlishe