Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

Status
Not open for further replies.
Mkuu Pasco.Heshima mbele.

Naomba uiondoe thread yako.Ili usipotoshe na wengine pia.

Kutoka Mjengoni
Aluta Continua.

Mama hongera sana kwa kufuatilia JF. Mimi nakushauri uwe mvumilivu kwa sababu ni vema ukapata mtazamo mbadala halafu ukaona maoni yanavyotiririka.

Kumuomba/kumtaka aombe radhi ni sawa kwa chadema lakini nashauri apewe nafasi yeye mwenyewe aone umuhimu wa kuomba radhi. Utawaambia wangapi waombe radhI? Kumbuka uko kwenye mapambano ambamo kuna kila aina ya michezo michafu. Sifa mojawapo ya mpiganaji mzuri ni kuhimili vishindo. Huyu anaweza kuwa ni wakala tu kumsahihisha mwaga ukweli uliosemwa period; hata ukitafuta clip utapata itundike itamsuta.

Samahani mimi binafsi sipendi mapambano ya kipuuzi lakini napenda sana malumbano hasa mahali kama hapa jamvini ambapo mawazo mbadala yanachemka na kutolewa.
 
Dada na Binamu yangu Regia, ahsante kwa ufafanuzi.

Ile thread ya Pasco nlijikuta nakata tamaa na kunyong'onyea sana.

Mapambano bado yanaendelea.
 
Hongera sana kwa kuweka ukweli hadharani mana ake wapo watu wachache wanaotumika kupotosha umma wa watanzania na ukizingatia na huu mgao watu wengi hawatazami kipindi, hana budi kufuta thread na wala hatapewa muda kama spika alivyofanya kwani muongo ni muongo tu wote ndio wale wale...
 
binafsi nimekwazwa sana na waandishi wa habari wa tanzania hasa wale type ya pasco....!

kwa mtu ambae yupo karibu na magazeti ya leo naomba aangalie zile habari kuu za front pages za magazeti yote......!utagundua utofauti mkubwa sana wa waandishi wetu ukiwalinganisha na gazeti la uhuru.

WAANDISHI WETU WANANUKA RUSHWA
 
Mkuu Pasco.Heshima mbele.

Nimeamua kuanzisha thread hii kwa makusudi kabisa ila kuondoa upotoshaji ambao umeufanya hasa kwa wale ambao hawajatazama Bunge.Kuna watu wengi tu hawajatazama Bunge na hawatapata muda wa kutazama hivyo ukisema kuwa CHADEMA tumekubali yaishe na kumtambua Rais si kweli. Kwanza napenda ieleweke kuwa kumpongeza mtu ni tamaduni ya kawaida kabisa na pale mtu anapostahili pongezi basi hana budi kupongezwa.Alichokisema Mbowe ni kumpongeza Rais kwa kukubali kuandaa Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba Mpya pamoja na kwamba suala hili halikuwa kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM). Hayo mengine ya kumtambua hajasema.Kuongeza ni suala la kawaida sana.Na amesisitiza kuwa atapongeza kila zuri litakapofanywa iwe kwa chama au kwa serikali.Hansard ikitoka nitaweka hapa.

Naomba uiondoe thread yako.Ili usipotoshe na wengine pia.

Kutoka Mjengoni
Aluta Continua.

Hivi ukiwa mbunge wa viti maalum it means you constituency is Jambo Forum eeh? Mnakula posho ndeefu, with absolutely nothing to do mle ndani. I actually think viti maalumu is an insult to all the feminists out there.
 
:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Ahsante Mheshimiwa. Angalau roho imerudi duniani. Maana nilishaamua kwenda kuzimu aliko baba wa Taifa nikamwelezee yote yanayofanyika sasa. Na zaidi niishi huko huko.

Nina kushukuru sama mama.

Mkuu Pasco.Heshima mbele.

Nimeamua kuanzisha thread hii kwa makusudi kabisa ila kuondoa upotoshaji ambao umeufanya hasa kwa wale ambao hawajatazama Bunge.Kuna watu wengi tu hawajatazama Bunge na hawatapata muda wa kutazama hivyo ukisema kuwa CHADEMA tumekubali yaishe na kumtambua Rais si kweli. Kwanza napenda ieleweke kuwa kumpongeza mtu ni tamaduni ya kawaida kabisa na pale mtu anapostahili pongezi basi hana budi kupongezwa.Alichokisema Mbowe ni kumpongeza Rais kwa kukubali kuandaa Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba Mpya pamoja na kwamba suala hili halikuwa kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM). Hayo mengine ya kumtambua hajasema.Kuongeza ni suala la kawaida sana.Na amesisitiza kuwa atapongeza kila zuri litakapofanywa iwe kwa chama au kwa serikali.Hansard ikitoka
nitaweka hapa.

Naomba uiondoe thread yako.Ili usipotoshe na wengine pia.

Kutoka Mjengoni
Aluta Continua.
 
Mama hongera sana kwa kufuatilia JF. Mimi nakushauri uwe mvumilivu kwa sababu ni vema ukapata mtazamo mbadala halafu ukaona maoni yanavyotiririka.

Kumuomba/kumtaka aombe radhi ni sawa kwa chadema lakini nashauri apewe nafasi yeye mwenyewe aone umuhimu wa kuomba radhi. Utawaambia wangapi waombe radhI? Kumbuka uko kwenye mapambano ambamo kuna kila aina ya michezo michafu. Sifa mojawapo ya mpiganaji mzuri ni kuhimili vishindo. Huyu anaweza kuwa ni wakala tu kumsahihisha mwaga ukweli uliosemwa period; hata ukitafuta clip utapata itundike itamsuta.

Samahani mimi binafsi sipendi mapambano ya kipuuzi lakini napenda sana malumbano hasa mahali kama hapa jamvini ambapo mawazo mbadala yanachemka na kutolewa.

Asante sana Mkuu kwa consern yako.nimekuelewa vizuri.Pamoja na mabandiko mengi yalianzishwa humu kuhusu CHADEMA umewahi kuniona popte nikisema waanzisha thread wafute kauli zao?hili ni zito na mtu aliyeanzisha ni mtu wa kuaminika hivyo napopotosha na lazima tuweke mambo sawa.Nimemshauri aombe radhi na sijamlazimisha lakini ana uhuru wa kukubali ama kukutaa.Ningeweza kabisa kuPM au kumpigia simu au kukutana naye ana kwa ana na kumwambia au hata kutumia ile thread yake kumshauri.Lakini kwa kuwa kuna baadhi ya watu huwa hawasomi post kwa post na wengine huwa wanasoma vichwa vya habari tu hivyo nimeona ni bora nianzishe thread mpya ili watu wapate fursa ya kutafuta ukweli popote pale sio lazima iwe JF. Hata asipoomba radhi lakini watakaosoma thread zote mbili wataamua kutafuta ukweli ama kwa kufuatilia marudio ya Bunge au Hansard.
 
Hivi ukiwa mbunge wa viti maalum it means you constituency is Jambo Forum eeh? Mnakula posho ndeefu, with absolutely nothing to do mle ndani. I actually think viti maalumu is an insult to all the feminists out there.

I don't dig viti maluum, but I dig watu maalum in viti maalum! I dig u dada !
I abhor you braza sele

Mhandisi mwandamizi wa mifumo na njia kuu za umeme.
 
Mkuu Pasco.Heshima mbele.

Nimeamua kuanzisha thread hii kwa makusudi kabisa ila kuondoa upotoshaji ambao umeufanya hasa kwa wale ambao hawajatazama Bunge.Kuna watu wengi tu hawajatazama Bunge na hawatapata muda wa kutazama hivyo ukisema kuwa CHADEMA tumekubali yaishe na kumtambua Rais si kweli. Kwanza napenda ieleweke kuwa kumpongeza mtu ni tamaduni ya kawaida kabisa na pale mtu anapostahili pongezi basi hana budi kupongezwa.Alichokisema Mbowe ni kumpongeza Rais kwa kukubali kuandaa Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba Mpya pamoja na kwamba suala hili halikuwa kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM). Hayo mengine ya kumtambua hajasema.Kuongeza ni suala la kawaida sana.Na amesisitiza kuwa atapongeza kila zuri litakapofanywa iwe kwa chama au kwa serikali.Hansard ikitoka nitaweka hapa.

Naomba uiondoe thread yako.Ili usipotoshe na wengine pia.

Kutoka Mjengoni
Aluta Continua.

Acheni kupindua pindua maneno.
 
Hon. Regia, heshima kwako.
Nakukumbusha tu kuwa Pasko ni miongoni mwa wahariri wa magazeti yetu yaleeee! we kesho Tazama (nakushauri usinunue utaharibu siku yako) Mtanzania, Uhuru, Jambo leo na Habari leo. Tazama front page tu!
 
Wote waliokuwa wameamini Thread ya Pasco ni watu wa kuupuzwa kabisa, kwa sababu ni ishara kwamba hawaishi katika wanachokiami. mimi sijasikiliza Bunge lakini nilivyoiona tu ile Thread ya Pasco nikaielewa palepale lengo lake ni nini. Nina imani na CHADEMA NA nina imani na uongozi makini wa kamanda Mbowe, hawezi kuongea ushuzi aliotaka Pasco kuaminisha watu wenye imani dhaifu wasioishi katika wanachokiami. watu hawa sitoshangaa siku wakiambiwa Marekani imevamiwa kijeshi na Malawi na bado wataamini bila kusumbuwa vichwa vyao.
 
ASante sana mheshimiwa, manake mi mwenyewe siangalii Bunge, nategemea kupata habari hapa.
 
tunashukuru kwa ufafanuzi wako Mpiganaji wetu, tunatakiwa kuw amakini sana na utoaji taarifa
ili ziwe ni taarifa za kumanikika na porojo hata hivyo nadhani mkuu Pasco alikuwa mbio sana kuweza kulitafuta lililo
la muhimu kwenye kutoa taarifa ama alilenga kutoa taarifa inayoweza kuuza habari yake kwa wasomaji
 
Pasco mara nyingi huleta habari zenye utata. Mambandiko yake ni kuyaangalia mara mbili mbili, maana ni kama kinyonga vile
 
Asante sana Mkuu kwa consern yako.nimekuelewa vizuri.Pamoja na mabandiko mengi yalianzishwa humu kuhusu CHADEMA umewahi kuniona popte nikisema waanzisha thread wafute kauli zao?hili ni zito na mtu aliyeanzisha ni mtu wa kuaminika hivyo napopotosha na lazima tuweke mambo sawa.Nimemshauri aombe radhi na sijamlazimisha lakini ana uhuru wa kukubali ama kukutaa.Ningeweza kabisa kuPM au kumpigia simu au kukutana naye ana kwa ana na kumwambia au hata kutumia ile thread yake kumshauri.Lakini kwa kuwa kuna baadhi ya watu huwa hawasomi post kwa post na wengine huwa wanasoma vichwa vya habari tu hivyo nimeona ni bora nianzishe thread mpya ili watu wapate fursa ya kutafuta ukweli popote pale sio lazima iwe JF. Hata asipoomba radhi lakini watakaosoma thread zote mbili wataamua kutafuta ukweli ama kwa kufuatilia marudio ya Bunge au Hansard.

Tupo pamoja mheshimiwa,
Songa mbele.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom