Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

Status
Not open for further replies.
Atawakuna wengi sana wenye kugeuza njano nyekundu mimi nimemsikia kwa masikio yangu mbowe akimpongeza Rais, Waziri mkuu na mawaziri kwa kuchaguliwa kwao! masikio yangu yanakataa kusikia maneno ambayo ni mengine tofauti na haya yaliyosemwa hapa YouTube - Mh. Freeman Mbowe ajadili hotuba ya Rais (Michuzi Blog)

Shosiiiiiii,

Mkuu umekomaa kweli kweli. Pasco kaamua kuomba radhi kama alivyoombwa.

Pasco anasema atafungua sredi mpya ya kuomba masmaha ili aelezee uelewa wake katika suala hili.

Mwanzoni ulikuwa unasema mbowe kamtambua rais kwa tafsiri ya pasco na regia mtema, sasa wewe unatumia tafsiri na uelewa wa pasco na regia ama unatumia bongo yako mwenyewe kutafsiri na kuamua mambo? kwamba watu wote wanaopingana na pasco na ambao walishuhudia "live" tbc mbowe akizungumza hawaoni wala hawasikii kwa kuwa ni "pro cdm" isipokuwa baadhi ya "anti cdm" mkijiita mko huru ndo mna masikio na macho ya kusikia na kuona vizuri zaidi ya wengine!!??

Sasa umeibuka na jipya tena, eti mbowe kampongeza rais kwa kuchaguliwa, wapi hapo kampongeza rais kwa kuchaguliwa? mbowe kampongeza kwa kuwa msikivu na kuchukua ilani ya cdm hasa suala la katiba mpya na akamtaka aendelee kuchukua na mengine kwa manufaa ya nchi sasa wewe ndugu yangu mbona unapindisha mambo tena?

Unanikumbusha enzi zileee za mzee muhidin ahmad ndolanga mkuu, dah hii sasa kali!!
 
MS ... anzisha thread yako ya kumsikia mbowe kumpongeza rais .... lakini nimekiri kabisa kwamba uelewa wa dhana ya hoja bado hujaelewa kwani Pasco ameshaomba radhi sasa sijui kwa nini unaendelea kuteseka na mada ya mwenzako ...hiyo you tube link unayon'gan'gania ...watu waliona live TBC 1...pasco amesema alimwelewa vibaya mbowe.... kwa upande wako hii inadhihirisha wazi kwamba kuna tatizo la school of thoughts btn

Naomba nimnukuu Mhe Mbowe

"Sisi kama kambi ya upinzani tuko tayari kufanya kazi na wabunge wote……… tuvumiliane tutaheshimiana na tutawapa ushirikiano wale wote wanaohusika kwasababu tunajenga nchi moja tusigombane bila sababu za msingi.
……………Mheshimiwa Spika napenda kwenye hili nimpongeze Rais, nimpongeze Raisssssss kwa kuwa msikivu na Rais anapofanya jema tutampongeza na serikali yake inapofanya jema tutampongeza na chama chcochote kitakachofanya jambo jema kwa nchi yetu tutakipongeza. Napenda kumpongeza Rais mhe spika kwa sababu moja ya msingi sana kuridhia mabadiliko………………………."

Sasa kama Mwenyekiti amesema "tuvumiliane tutaheshimiana na tutawapa ushirikiano wale wote wanaohusika kwasababu tunajenga nchi moja tusigombane bila sababu za msingi" kwanini hapa JF watu wanasambaza chuki? Mbowe ni muungwana anataka kuijenga Tanzania tumpe ushirikiano!
 
MS.. ngoja pasco akuombe masamaha kwani yeye amekosea kusema kakosea katika thread yake ...bali wewe ndiyo uko sahihi kwenye thread yake na siyo thread yako
 
Shosiiiiiii,

Mkuu umekomaa kweli kweli. Pasco kaamua kuomba radhi kama alivyoombwa.

Pasco anasema atafungua sredi mpya ya kuomba masmaha ili aelezee uelewa wake katika suala hili.

Mwanzoni ulikuwa unasema mbowe kamtambua rais kwa tafsiri ya pasco na regia mtema,

Sasa umeibuka na jipya tena, eti mbowe kampongeza rais kwa kuchaguliwa, wapi hapo kampongeza rais kwa luchaguliwa? mbowe kampongeza kwa kuwa msikivu na kuchukua ilani ya cdm hasa suala la katiba mpya na akamtaka aendelee kuchukua na mengine kwa manufaa ya nchi sasa wewe ndugu yangu mbona unapindisha mambo tena?

Unanikumbusha mzee muhidin ahmad ndolanga mkuu, dah hii sasa kali!!

Nime quote vibaya na kwahilo sina budi kusema sorry.......... mimi binadamu na napenda nyote muamini sina ubaya wowote kwa hotuba ya Mhe Mbowe kwani ni mwanzo mzuri. Kuna vitu vingine viongozi wetu wanatakiwa wawe na msimamo wa kati ili kufanikisha mambo magumu ambayo yatatunufaisha sote. Kama suala la katiba linahitajika kuwe na uwakislishi thabiti na sio waachiwe serikali na chama tawala kwenye mchakato wa katiba mpya.

Samahani kwa kunukuu vibaya tupo pamoja kuijenga Tanzania mpya.
 
MS.. ngoja pasco akuombe masamaha kwani yeye amekosea kusema kakosea katika thread yake ...bali wewe ndiyo uko sahihi kwenye thread yake na siyo thread yako

Hiyo thread yake hairuhusiwi mtu kutoa maoni jamani? umenifundisha jambo jipya JF
 
Hiyo thread yake hairuhusiwi mtu kutoa maoni jamani? umenifundisha jambo jipya JF

pasco ametumia hardly four days ametafakari na amesema amesoma ... michango yote ...akatumia busara kama anyotumia siku zote kuchangia humu JF na kuomba msamaha ...wewe inakuuma nini ...ninakushauri anzisha thread yako pasco akuombe msamaha kwakuwa amekosea kusema kakosea
 
Naomba nimnukuu Mhe Mbowe

"Sisi kama kambi ya upinzani tuko tayari kufanya kazi na wabunge wote……… tuvumiliane tutaheshimiana na tutawapa ushirikiano wale wote wanaohusika kwasababu tunajenga nchi moja tusigombane bila sababu za msingi.
……………Mheshimiwa Spika napenda kwenye hili nimpongeze Rais, nimpongeze Raisssssss kwa kuwa msikivu na Rais anapofanya jema tutampongeza na serikali yake inapofanya jema tutampongeza na chama chcochote kitakachofanya jambo jema kwa nchi yetu tutakipongeza. Napenda kumpongeza Rais mhe spika kwa sababu moja ya msingi sana kuridhia mabadiliko……………………….”

Sasa kama Mwenyekiti amesema "tuvumiliane tutaheshimiana na tutawapa ushirikiano wale wote wanaohusika kwasababu tunajenga nchi moja tusigombane bila sababu za msingi" kwanini hapa JF watu wanasambaza chuki? Mbowe ni muungwana anataka kuijenga Tanzania tumpe ushirikiano!

Naona bado unaendelea kupoteza mda wako kwa kutetea kitu usichokijua. Pasco ameomba yaishe na wenye uelewa wao wamemuelewa alimaanisha nini.

Sasa wewe usiye na kazi endeleza malumbano yako yasiyo na mashiko.
 
mkuu... do i need to say more .... asante sana
 
Naona bado unaendelea kupoteza mda wako kwa kutetea kitu usichokijua. Pasco ameomba yaishe na wenye uelewa wao wamemuelewa alimaanisha nini.

Sasa wewe usiye na kazi endeleza malumbano yako yasiyo na mashiko.

Mkuu sina nia mbaya naomba niamini ila kama wewe unajua kwanini usinifahamishe na mie nijue? huo ndio uungwana na sio kudhihakiana. Nitashukuru ukinifahamisha na mimi nijue. Shukran na samahani kwa kukukwaza.
 
Mkuu Mganyizi,

Nasubiri kwa heshima na taadhima unifahamishe na mimi nielewe alichokielewa Pasco ambacho mimi sijakielewa nina ahidi kuwa msikivu na uwe mvumilivu nitakapouliza pale nitakapokuwa sijaelewa maana nahisi nina uelewa mdogo na siwezi kuwa na uelewa kama wako wewe Great Thinker...............
 
Ifike wakati mfanye kama hivi pale mnapoona upotoshwaji unafanyika kwa vyama vingine hii itawasaidia kuonekana mnasimamia haki na nidhamu ya JF. Siku zote huwa nasisitiza umuhimu wa kuheshimiana na kutokuzuliana maneno. Jana kina HR na Kafulila walizuliwa kuwa wameangushwa kwenye kugombea uenyekiti wa PAC na POC, Sijakusikia wewe Regina wana Mkumbo kuwarekebisha watu na kuwaeleza ikweli mlinyamaza kimya. Ila mkiguswa nyie mtaanzisha thread za kuomba msamehewe. Uungwana ni kufanya yasio wachukiza wengine sio kuacha kufanywa yanayokuchukiza wewe tu.

Ahibal nasi matuhibul nafsik penda nafsi ya mwenzako kama unavyoipenda nafsi yako.

Shukran.

Sidhani kama kina HR na Kafulila wamezuiliwa kujitokeza na kuweka rekodi sawasawa kama alivyofanya Regia pale alipoona kuna upotoshwaji kuhusu chama chake. Hivyo badala ya kuwashambulia Dr. Kitila na Regia ungechukua fursa hiyo kuwashauri Kafulila na HR waige haya mazuri yaliyofanywa na Regia kwa kujitokeze na kuweka sawa mambo.
 
Bunge limekuwa kama Kijiwe cha Umbea na Majungu...Vijembe na Misemo kama kuna 'Bunge Taarab Cultural Group'.. Sishangazwi na wananchi kama Pasco ambao wame'adopt' umbea na vijembe vya Bunge bila Kufikiri.
Makamanda wetu najua MMESEMWA SANA,MMEDHALILISHWA SANA,MMEONEWA SANA NA WANA CCM...... Hasa wakati huu wa Kuchangia Hotuba ya Rais!. Nawaombeni muwe IMARA na msiyumbe kwa kuwa kila anayewasema anajipendekeza kwa MKUU!
Wana CDM Tuko Pamoja Nanyi

Don't You worry we Choose to walk behing you so that we can hold you when you're falling!
 
Usikurupuke mkuu, soma post kwa post mpaka ukifika kwenye post yangu ndio utaelewa nilichokiandika, usidandie treni kwa mbele.

Mkuu kwanza niwie radhi kama nitakuwa nimekudhi haikuwa dhamira yangu. Hoja zako na za wenzako nimezifuatilia kwa kina wala sikudandia meli kama ulivyonidhania kimakosa. Tatizo langu lilikuwa sio mantiki ya hoja zako bali lugha uliyotumia kuwasilisha hoja. Hamna mtu atakayependa kuitwa zuzu au mjinga. Zipo lugha nyingizi za kiungwana za kufikisha ujumbe na hata kukosoa bila kujenga picha ya dharau kwa mwenzio
 
Sorry, lakini huyu mbunge wenu hana point kabisa..

Chadema mnahitaji watu wenye akili zaidi ya hawa..poleni

eti pasco aombe radhi...mambo ya kijinga kweli
 
Sorry, lakini huyu mbunge wenu hana point kabisa..

Chadema mnahitaji watu wenye akili zaidi ya hawa..poleni

eti pasco aombe radhi...mambo ya kijinga kweli

Jamaa kaomba lakini very tricky yaani huwezi amini jamaa wanadangantika kirahisi hawa sijapata kuona duh!
 
Hon. Regia, heshima kwako.
Nakukumbusha tu kuwa Pasko ni miongoni mwa wahariri wa magazeti yetu yaleeee! we kesho Tazama (nakushauri usinunue utaharibu siku yako) Mtanzania, Uhuru, Jambo leo na Habari leo. Tazama front page tu!
Mzito Kabwela, mimi ni mwandishi wa kujitegemea, yaani freelance na sina gazeti lolote rasmi ninaloandikia, yaani sifa zangu ni za chini mno mpaka kupata hata ajira gazetini ni issue, leo ndio nimekuwa mhariri?!. Naomba dua zako ziwe za kheri, huwezi jua nitajapata ajira na huo uhariri, Insha Aalah!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom