Kule kijijini kwenu utokako hali ikoje na maeneo ya jirani? Hamkawii kusema mmezaliwa kariakoo ambapko keenyewe kuna matatizo lukukiAsante mtoa mada, asante Mayala, ni kweli member wenzangu humu wengi wao ni kupinga tu, matusi tu, bila ya kupima na kujenga hoja ya hali halisi
Hatafuti mke......Ttozi bweka
JF usipokandia Serikali na kusifia cdm na viongozi wake hueleweki.
Pole Mayala ngoja utaona majibu yake hapa.
Mkuu umeongea vema nadhani Maylalya atakuwa amekuelewamaendeleo yanayopimwa kwa barabara na majengo hovyo ya madarasa ya shule za kata.
Nchi yeyote duniani aliyoendelea lazima uchumi wake kwa kiasi kikubwa itokane na ability to manufacture/fabricate, sasa sisi tumeua viwanda vyote, hata kile cha kutengeneza baiskeli aina ya swala walizozipenda sana wasukuma. Tukakiua taratibu huku tukiingiza baiskeli kutoka china zikiitwa phoenex.
Miaka 50 ilopita tulikuwa tunalima kwa jembe la mkono, leo tunalima kwa jembe hilo hilo.....miaka ya kati hapa kulikuwa na matrekta ya vijiji....yamekufa kama nyerere.
Miaka 50 ya uhuni, bajaji ndio ambulance!!
Serikali ikijenga lami haisifiwi, ni wajibu wake! itasifiwa ikiwaajibisha wahujumu wa fedha zetu. Serikali inakusanya kodi kutoka kwetu ili iendeshe nchi, inawasomesha watui sio kuwa ni zawadi, inawasomesha wawe na uwezo wa kuajiliwa na walipe kodi, sio vingeyoooo
hakuna chochote killichofanyika.....CCM wakoloni tu
tatizo sio kwamba hakuna maendeleo tatizo ni kuwa kuna watu wamesimamisha maendeleo wanajiendeleza wao na familia zao badala ya taifa kwa ujumla