cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,545
- 140,563
Wee wizoo, mbna hukuniita? Ntakubonda kwenye komwe hapo
Wee wizoo, mbna hukuniita? Ntakubonda kwenye komwe hapo
Anaye eleweka n papa sio wee, wee anakujua nan zaidi ya familia yako?Mashoga hawatakiwi kujitambulisha hivyo kanisani na wala kanisa halitakiwi kuwa single out mashoga na kuanza kuwawekea taratibu zao, ni sawasawa na watu wanaotenda dhambi nyingine kama wizi, ujambazi, uzinzi waanze kutafuta kutambulika kanisani kama wezi, majambazi, wazinzi nk. halafu kanisa lijishughulishe kuwawekea taratibu zao maalum.
Kimsingi watu wote haijalishi wametenda dhambi gani au maouvu gani wanatakiwa kujitambulisha kanisani kama waumini na ikiwa watataka kujitambulisha kama wanandoa ni kwa wale tu ambao wamefunga ndoa inayotambulika kanisani, yaani mke na mume, sijui kama nimeeleweka.
Ila wa majambazi, wezi, makahaba? Nao je?Kauli za Papa huyu tangu mwanzo ni za Kishetani. Tutafute nini tena. Yaani mwanaume afirwe then ujira uliotokana na ufiraji na ufiraji kuwa halali Kanisani.
Shangaa hapo na wee.Kwamba ,nisawa na fungu lakumi la jambazi sugu au maarifu au malaya wa chalamila hapo dar
Mana ,nalo hupokelewa na hubalikiwa
UNAFIKIIIIIMakanisa huwa yanapokea pesa za wizi, ufisadi, utapeli na hata zitokanazo na dawa za kulevya, kwa nini za ushoga iwe nongwa??
Ongezaa sautiiiiiiiAcha kujisumbua na kuteta ujinga , kubariki ndoa za jinsia na kubariki wazinifu vyote katunga yeye hakuna kweny ukristo.
Kubariki ndoa ya wazinifu watu washazaa wengine wana mimba ndio wanafungishwa ndoa ,sawa tu na kubariki mashogo vyote havipo kweny dini
Na bongo ije hii ya vyoo vya gays.Kwa hiyo ni kama saloon ya shoga anakunyoa na kukufanyia massage ni Baraka au sio hivyo
Yaani kuuza vifaa vyao rukhsa
Dunia hii ina mambo
Ila wameamua hata uk wanataka watoto shule zote wawe na vyoo aina 3 yaani wavulana, wasichana na mashoga
Nashangaa hapo na mie, khaaahN
Na wewe unayezini au kupiga nyeto daily utengwe na kanisa pia? Mbona dhambi zenu hamzioni manaonanza wengine tu
Uongooooo, dhambi zote ni laana.Bora zinaa,na nyeto,ila dhambi ya ushoga ni mbaya sana.na ni LAANA.
Wee ni liongo sana, na huu ushoga wa sasa umekujajee?SIO KWELI,na uache kupotosha watu,hyo dhambi ya ushoga ndo dhambi iliyopewa adhabu kali sana kipindi cha nabii luti.haya niambie mtu gani alimdanganya demu akachomwa moto?
Huyo papawize ni libigitikiu nini maana kauli zake ni tata kila mara
Wakatoliki kazi mnayo mana papa akiongea ni kama anachafua hali ya hewa waumini mnaanza kuhangaika
Wakikujibu nitag.Jee wengineo wafanyao mbaya yaliyo katazwa kwenye Biblia nao wanastahili baraka hizo?
Waumini uchwara ndo wameyatimba.Papa kama ameyatimba hivi! Angeuchuna tuu.
Kwani vya wengine havibarikiwii? KhaaahBasi asiseme vibarikiwe vitu vya mashoga tu,
bali aseme wadhambi wote,vitu vyao vibarikiwe.
Kanisa ni la woteMali zao chukua, lakini wenyewe mmmmmmm.......... Kanisa Takatifu!!!!!!!!!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈 nilisahauuuuWee wizoo, mbna hukuniita? Ntakubonda kwenye komwe hapo
KWANI WE NI NANI?Umerogwa vibaya sana ati "baba mtakatifu" mtu kama huyo anayewalegezea mashoga hapaswi kuheshimiwa kabisa.
🤣🤣🤣🤣😂😂Kwa kusoma comments hizi, nimejiridhisha bado Kuna wajinga wengi sana duniani, "low Iqs" wa kushanto.... Kuna watu ni mashiga lkn wanamiliki school bus inayobeba WANAFUNZI, ikibarikiwa Kuna shida Gani?
Chumermeryo konyo ahahahahAcha kwenda kanisani, kwan ibada itasimama?
Wee hebu tutolee uchuro wako hapaa.
Kwa hiyo unataka kanisa likutambue kama shoga ili upewe sacrament za kishogashoga..........dunia ngumu hii.Anaye eleweka n papa sio wee, wee anakujua nan zaidi ya familia yako?
Tutolee uchuro wako hapa.