kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 365
wanandugu, hongera sana kwa kufika mwaka 2011 salama salimini!!,.
katika mwaka 2011 nataka kujikita katika kilimo.. lakini nataka nitumie kila njia niweze kufanikiwa. mojawapo ya njia ni kufanya kilimo cha umwagiliaji...Bahati nzuri nina sehemu iliyo katika mto kwa hiyo maji ni 100% mwaka mzima.. nina eneo ambalo ni takribani ekari 10. sasa wanandugu naomba mwenye details aniambie njia/technique gani nzuri za kutengeneza ka-mfumo ka umwagiliaji.. na je pampu ya umwagiliaji naweza kuipata wapi na kwa gharama gani.
nitashukuru sana!!