Pampu na mfumo wa umwagiliaji katika Kilimo

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
wanandugu, hongera sana kwa kufika mwaka 2011 salama salimini!!,.

katika mwaka 2011 nataka kujikita katika kilimo.. lakini nataka nitumie kila njia niweze kufanikiwa. mojawapo ya njia ni kufanya kilimo cha umwagiliaji...Bahati nzuri nina sehemu iliyo katika mto kwa hiyo maji ni 100% mwaka mzima.. nina eneo ambalo ni takribani ekari 10. sasa wanandugu naomba mwenye details aniambie njia/technique gani nzuri za kutengeneza ka-mfumo ka umwagiliaji.. na je pampu ya umwagiliaji naweza kuipata wapi na kwa gharama gani.
nitashukuru sana!!
 
Just check with Davis and Shirtliff opposite Kamata.. au pale oppossite Continental Hotel na pia pale Merry Water maeneo ya Victoria..Wish u all the best in yr project
 
nakushukuru sana kwa taarifa yako nzuri nitafuatilia INKOSKAZ
 
Mkuu wazo zuri sana.
Pump za kuvuta maji waone hao jamaa hapo juu aliokutajia inkoskaz pia nakushauri jitaidi kutembela watu ambao wanaendesha kilimo cha umwagiliaji ili upate kujifunza kwa vitendo zaidi.mungu akubariki
 
Kanyagio, kama eneo la shamba lako kuna upepo wa kutosha nakushauri waone Davis and Shirtliff wakupe pump zinazosukumwa kwa upepo, ambayo haina gharama kubwa za uendeshaji, unatakiwa upime kasi ya upepo ili kujua ni windmill ya ukubwa gani ifungwe, wanaohusika na vipimo vya upepo ni idara ya hali ya hewa.
 
ahsante kwa maoni wanandugu!!.
nitaenda kuwatembelea!! bila shaka mwenye taarifa na mawazo zaidi atazidi kubandika hapa JF
 
hawa jamaa wa davis and shirtliff wazuri na pump zao ni kwality ila BEI IKO JUU SANA tarajia invoice ya 6 to 9 million
Just check with Davis and Shirtliff opposite Kamata.. au pale oppossite Continental Hotel na pia pale Merry Water maeneo ya Victoria..Wish u all the best in yr project
 
hawa jamaa wa davis and shirtliff wazuri na pump zao ni kwality ila BEI IKO JUU SANA tarajia invoice ya 6 to 9 million

Jaribu ku-pm kwa Kasopa, aliniambia habari nzuri za pump, mojawapo ikiwa cheap sana. na mimi nitamtafuta ili nikimpata na akinipa majibu safi nitaweka hapa jamvini.
 
Mkuu Kanyagio karibu tunafunga mwaka sasa, kama hutojali naomba tuifufue hii thread kwa wewe kutupatia mrejesho kuhusu maendeleo ya project yako.
wanandugu, hongera sana kwa kufika mwaka 2011 salama salimini!!,.

katika mwaka 2011 nataka kujikita katika kilimo.. lakini nataka nitumie kila njia niweze kufanikiwa. mojawapo ya njia ni kufanya kilimo cha umwagiliaji...Bahati nzuri nina sehemu iliyo katika mto kwa hiyo maji ni 100% mwaka mzima.. nina eneo ambalo ni takribani ekari 10. sasa wanandugu naomba mwenye details aniambie njia/technique gani nzuri za kutengeneza ka-mfumo ka umwagiliaji.. na je pampu ya umwagiliaji naweza kuipata wapi na kwa gharama gani.
nitashukuru sana!!
 
Just check with Davis and Shirtliff opposite Kamata.. au pale oppossite Continental Hotel na pia pale Merry Water maeneo ya Victoria..Wish u all the best in yr project

Ukulima ni sekta ambayo kama itatiliwa maanani basi itainua uchumi wa Mtanzania wa kawaida na wa nchi kwa ujumla. Tatizo linatakiwa ni uwezeshwaji kwa wakulima ili kuweza kuzalisha mazao yenye ubora na mengi. Hao D&S pamoja na marry water ndio suluhisho la pump za umwagiliaji sina ubishi na hilo. Ila hawa jamaa bei zao kwakweli ni kubwa kwa shamba la hekari 10 mimi namshauri atumie pump za kawaida zinazotumia mafuta au kama ana pesa aende suma JKT wana pump ya trailer ina hp 20 ina cost 5 mil. Utahitajika kutengeneza towers kwa ajili ya kupandisha maji kwenye matank kisha utatandaza mabomba ya plastic (networking) kwa ajili ya kumwagilia. Ukihitaji ushauri na michoro andaa consultation fees nikupe vitu vya uhakika.

No free lunch in this world.
 
How much is the consultation fee? Nataka kuandaa irrigation system kwenye 100 acres kwa kuchimba kisima na kutandaza mabomba ya kumwagilia
 
Wakuu nilikua naulizia pia wapi ntapata mashine ya kuondolea chumvi kwenye maji?nimechimba kisima changu sasa maji yana chumvi kwa mbali,ningepata mashine ndogo kwa ajili ya matumiz ya nyumbani tuu,si kwa ajili ya business.

Mwenye uelewa please anifahamishe.
 
Jaribu ku-pm kwa Kasopa, aliniambia habari nzuri za pump, mojawapo ikiwa cheap sana. na mimi nitamtafuta ili nikimpata na akinipa majibu safi nitaweka hapa jamvini.

mkuu naomba mrejesho. niko kwenye harakati za kuingia kwenye kilimo mwishoni mwa mwaka huu. Najiandaa mapema kwa kukusanya data kama hivi.
shukrani.
 
Mkuu kanyagio tafadhali njoo utupe majibu kwenye huu uzi, mradi wako ulifanikiwa na zipi zilikua changamoto ulizokumbana nazo??

Karibu
 
Last edited by a moderator:
usije kukuta huyo kanyagio alishakufa na nyie mnatafuta marejesho kwa marehemu
Angekuwepo angeleta marejesho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom