Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 725
- Thread starter
- #41
Wachache sana siku hizi ambao akiona unaweza kumsaidia akaendelea kujisaidia na yeye
Wapo mpenzi omba tu mungu akuletee umtakae na utaja niambia cku moja ila kumbuka mungu anatenda kwa wakati wake jitahidi tu kuomba na uckate tamaa halafu sahau cku atakayokuletea utashangaa