Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 890
- 4,142
Tuna tatizo la umeme linalochangiwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa. Tumeanza kuona Rehema za Mungu mvua inanyesha hivyo maji yataongezeka na mgao utaisha.
My worry for politicians; wataingia kwenye majukwaa nakusifia kwamba wameondoa tatizo la umeme ndani ya miezi sita. Ukiwauliza wametumia mikakati gani hapo utaitwa majina yote mabaya.
Let us be focused, tusibweteke na mvua za msimu tutafute permanent solution ya changamoto ya umeme nchini hali hii isijirudie tena