Pamoja na dalili zote za kunipenda, ila nimemtongoza kanibwaga

Ameona kuwa ameingia geto kwako na hukufanya lolote lile na ndo ilikuwa ndo nafasi pekee kwako, na pia ,ye hawez sema kajia kitu gan, huwa wanasema mwanamke akiingia geto kwa msela hatoki Salama nimenukuu, tuu, so nahsi ana uhakika na ww
 
Ameona kuwa ameingia geto kwako na hukufanya lolote lile na ndo ilikuwa ndo nafasi pekee kwako, na pia ,ye hawez sema kajia kitu gan, huwa wanasema mwanamke akiingia geto kwa msela hatoki Salama nimenukuu, tuu, so nahsi ana uhakika na ww
Wenye itikadi za ivo ni wale wabakaji tu kwamba ata akikataa atamlazimisha tu
 
Ila mi nahisi we hujapenda Bali umetamani tu hyo figure iliyotoroka peponi
 
Basi hukuwa na sababu ya kuja hapa kuanzisha huu uzi na kulalama eti, "umemtongoza halafu kakubwaga" mrembo kaingia kwenye anga zako za kujidai halafu unasema kakubwaga!? Bro wazz up?:eek::eek::eek:
Inatokea staring wa move ya kivta kugongwa na baiskel na kuvunjika sehem ya kiungo chake akiwa location
Uyu dem navyohis mm labda ana matatizo ya kiafya!ila sehem ya pili itakuja na majbu yote mkuu
 
Mkuu jiangalie mara mbili mbili, bila shaka unakaa chumba kimoja tena ni kichafu, keshakubwaga huyo wala usipoteze muda wako
 
Weka Picha yake,then nipe na namba yake ya simu nikunyoshee mambo madogo sana Mkuu hayo.
 
It feels so lonely when at this late hour of the night
you are wide awake wanting to talk to someone,
and all you realize is that you have no one but the
silence to listen to </3
 
Sa ungekutana na wahudumu wa qutar Airways je, si ungetangaza ndoa ndani ya ndege wewe!

Hizo ni customer care wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom