Pamoja na dalili zote za kunipenda, ila nimemtongoza kanibwaga

be patient mkuu,..kuku wako tayari huyo huhitaji kumshikia manati...urafiki wenu utaibuka kuwa penzi zito
 
Alitaka kuja kwako kutathimini uwezo wako kimaisha. Hakukuta alivyotegemea ndo anakupotezea kiaina.
 
Pia anataka kukupima utayari wako kama kweli anakupenda. Maana kulingana na maelezo yako yeye kukusotea sana kuliko wewe juhudi ulizozifanya. Kwahiyo kama unampenda jaribu kuinvest time na hatimaye utampata.
 
Alijisemea mwalimu wangu "sanaa ya mwafrika ni mviringo"

Yani baada ya kukuchangamkia ukaanza kuwaza kitobo kumbe mwenzio wala mawazo hayako huko.
 
Kaka sijawai omba ushauri kuhusu ligi za mchangani km izi
Uyo mtoto ana akili ya kujiongeza ka alisoma Chuo kikuu cha ujanja.Mbinu zote alikuwa anazishtukia paka nakosa pozi
Nikaonelea kuanza upya si uzembe.ngoja nmtongeze tu potelea mbal atakachojibu.
Majbu ndo km ivo sasa,MI NAHISI LABDA NI MUATHIRIKA WA HIV UYU
Party two unakuja lakini
Mfumo wa kutongoza siku hizi hakuna.. shika mkono vutia ndani baasi.. hakuna kuongea
 
ulipofika ni patamu cha kufanya zidisha urafiki kwa kumweka karibu Mpe zawadi ndogo ndogo mwisho wa Siku utamchoma kiraisi sana
angalizo: usikate tamaa
 
No.. Asingeenda home kwake.. Jamaa alizubaa alirudisha issue nyuma kwa kuanza kumtongoza tena wakati alivyofika nyumbani kwake ilikuwa ndio golden chance ya kuua mchezo! By the way it's just a mater of time! U a like having a friendship with a chicken!
 
umechelewa sana kupeleka maombi yako mwezi mzima...itakuwa mwanzo alikuwa na mapenzi na ww ila alivyoona usemi katokea jamaa mtaa wa pili kajieleza kapewa mambo ww unachukulia kama kaka sasa

sasa cha kufanya endeleza maombi jamaa aachwe kule urudiwe wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom