Pamoja na dalili zote za kunipenda, ila nimemtongoza kanibwaga

Wana wake tukisema ndio tunamaanisha hapana Na hapana ndio.. So umempata
1469302620650.jpg
 
Msukuma, acha buana
Habari wana MMU..

Ni kama miezi mitatu imepita tangu nikutane na huyu dada mitaa ya Mwenge Dar Es Salam. Ilikuwa weekend flani moja hivi yenye wingi wa baraka na neema nikiwa duka flani la cosmetics nikiulizia mafuta flani ya nywele yenye jina la Morgan.Nilijikuta nikilazimika kuketi kwa dakika kazaa baada ya tabasamu na ukarimu niloupata toka kwa muuzaji.

Yule dada aliomba azishike nywele zangu ili anishauri mafuta mazuri kwa nywele zangu.Hakika alinipa huduma za upendeleo. Baada ya kumsogelea ndio niliona figure ilotoroka peponi siku ya uumbaji, hakika binti alijaaliwa kuanzia sura paka umbo baada ya muda mchache nilimuaga ila akaniomba namba ya simu kwa feedback ya nywele.Nikafika zangu home sikumtafuta kwa siku ile ila nilimpigia siku iliofata. Baada ya stori za apa na pale akaomba apafahamu geto.

Basi baada ya kama wiki mbili kupita mtoto si ndio akaja magethoni sasa.Baada ya kupaki kigari chake pale, nikamu huge, nikampokea mkoba paka ndichi.Binti ni mcheshi sana ila anatumia soda pekee. Mambo yakawa mukidii mukidee.Basi baada ya kama saa moja ivi akaomba kusepa na zaidi akaomba nimsindikize, yani twende wote.Muda wote akiwa na mie sura yake ilijawa na tabasamu lenye wingi wa upendo.

Baada ya kama mwezi mmoja hivi (Japo sio kawaida yangu)wa kuelewana kupita si ndio nikamua pproach.ETI AKAKATAAA,TUWE MARAFIKI HIVI HIV. ETI TUKIWA WAPENZI KUNA SIKU TUTAZINGUANA NA TUTAACHANA MAZIMA IKIWA YE ATAKI KUNIPOTEZA.

Maswali nilojiuliza;
1 Kuna wanaume tumezaliwa kuja kuwa marafiki wa waichana wazuri tu
2 Kwanini wasichana wazuri wanakosa confidence kiasi hiki.Je ni kweli wengi hawajui mambo ndo maana wana hofu ya kuachwa mda wote.
3 Kwanini hataki niwe boi wake huyu, au kisa nimekaa kiplei boi sana, au anahisi sina pesa ya kumtunza au labda anamchumba tayari.

N.B
SIJAWAHI NA SITO MUULIZA KAMA KAOLEWA, ANAMCHUMBA AU MPENZI KWA SABABU NAJUAGA MAJIBU YA MASWALI HAYA PINDI UNAPOOMBA PAPUCHI.
 
umechelewa sana kupeleka maombi yako mwezi mzima...itakuwa mwanzo alikuwa na mapenzi na ww ila alivyoona usemi katokea jamaa mtaa wa pili kajieleza kapewa mambo ww unachukulia kama kaka sasa

sasa cha kufanya endeleza maombi jamaa aachwe kule urudiwe wewe
Duuuhh..tatizo Ata nikisema nianze kupunguza mawasiliano yani nianze kumchunia,analalamika sna.sasa kama ana bwana si atulie na bwana ake uko!mimi wa nini sasa
 
Asante kwa ushauri mkuu
Pia anataka kukupima utayari wako kama kweli anakupenda. Maana kulingana na maelezo yako yeye kukusotea sana kuliko wewe juhudi ulizozifanya. Kwahiyo kama unampenda jaribu kuinvest time na hatimaye utampata.
 
Habari wana MMU..

Ni kama miezi mitatu imepita tangu nikutane na huyu dada mitaa ya Mwenge Dar Es Salam. Ilikuwa weekend flani moja hivi yenye wingi wa baraka na neema nikiwa duka flani la cosmetics nikiulizia mafuta flani ya nywele yenye jina la Morgan.Nilijikuta nikilazimika kuketi kwa dakika kazaa baada ya tabasamu na ukarimu niloupata toka kwa muuzaji.

Yule dada aliomba azishike nywele zangu ili anishauri mafuta mazuri kwa nywele zangu.Hakika alinipa huduma za upendeleo. Baada ya kumsogelea ndio niliona figure ilotoroka peponi siku ya uumbaji, hakika binti alijaaliwa kuanzia sura paka umbo baada ya muda mchache nilimuaga ila akaniomba namba ya simu kwa feedback ya nywele.Nikafika zangu home sikumtafuta kwa siku ile ila nilimpigia siku iliofata. Baada ya stori za apa na pale akaomba apafahamu geto.

Basi baada ya kama wiki mbili kupita mtoto si ndio akaja magethoni sasa.Baada ya kupaki kigari chake pale, nikamu huge, nikampokea mkoba paka ndichi.Binti ni mcheshi sana ila anatumia soda pekee. Mambo yakawa mukidii mukidee.Basi baada ya kama saa moja ivi akaomba kusepa na zaidi akaomba nimsindikize, yani twende wote.Muda wote akiwa na mie sura yake ilijawa na tabasamu lenye wingi wa upendo.

Baada ya kama mwezi mmoja hivi (Japo sio kawaida yangu)wa kuelewana kupita si ndio nikamua pproach.ETI AKAKATAAA,TUWE MARAFIKI HIVI HIV. ETI TUKIWA WAPENZI KUNA SIKU TUTAZINGUANA NA TUTAACHANA MAZIMA IKIWA YE ATAKI KUNIPOTEZA.

Maswali nilojiuliza;
1 Kuna wanaume tumezaliwa kuja kuwa marafiki wa waichana wazuri tu
2 Kwanini wasichana wazuri wanakosa confidence kiasi hiki.Je ni kweli wengi hawajui mambo ndo maana wana hofu ya kuachwa mda wote.
3 Kwanini hataki niwe boi wake huyu, au kisa nimekaa kiplei boi sana, au anahisi sina pesa ya kumtunza au labda anamchumba tayari.

N.B
SIJAWAHI NA SITO MUULIZA KAMA KAOLEWA, ANAMCHUMBA AU MPENZI KWA SABABU NAJUAGA MAJIBU YA MASWALI HAYA PINDI UNAPOOMBA PAPUCHI.

Uandishi wako una-reflect tabia ya ''usanii '' ulionayo. Ukibadili gia angani utampata.
 
Basi hukuwa na sababu ya kuja hapa kuanzisha huu uzi na kulalama eti, "umemtongoza halafu kakubwaga" mrembo kaingia kwenye anga zako za kujidai halafu unasema kakubwaga!? Bro wazz up?:eek::eek::eek:

Trainin wakati kwenye zile alfabeti kuanzia A-Z sijagegeda majina yanayoanziwa na Q,I na Y pekeee.Sasa iyo trainin ya nini kwangu
 
Wengine hukataa wanakuwa na majipu sehemu za siri.... Unadhani atakubali? Jiulize... Wavumilie akipona na we we utapona... Ujue hataki kukukosa huyo ila hali yake ndio hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom