Paint

corlpole

Member
Nov 21, 2010
11
0
Juzi tu nilipata ajali, ila nikapona.
Lakini gari select saloon imeumia vibaya sana. Nataka kuitengeneza lakini rangi zinasumbua ni "dark foamred" zilizopo zinapauka,
nisaidieni technolojia ya kutunza rangi ya gari, pia kupinda cheses ni nini?
Hope kuna mechanical people hapa!
 
mnh nadhani watakua garage mana hawawezi kushika simu au PC wakiwa na maoil mikononi hebu wasubiri hadi jioni wakirudi makwao
 
Waone Hyman Garage karibu na msasani club kabla ya kuvuka daraja.oposite na dar canval
Wana computerized paint system ambayo after scanning rangi ya gari yako computer itaformulate rangi ya gari yako.
 
Juzi tu nilipata ajali, ila nikapona.
Lakini gari select saloon imeumia vibaya sana. Nataka kuitengeneza lakini rangi zinasumbua ni "dark foamred" zilizopo zinapauka,
nisaidieni technolojia ya kutunza rangi ya gari, pia kupinda cheses ni nini?
Hope kuna mechanical people hapa!


Mimi sio maechanical lakini with google acan a abit of knowlednge alomost on anything. Sio pilot wa ndege lakini najua hata pilot anafanya nini kunyanyua ndege . teh teh teh Huwezi kuwa mtaaalama kwa ku google tu but utakuwa na info.

Sasa hukusu maswali yako
nisaidieni technolojia ya kutunza rangi ya gari
Soma How to Make My Dull Car Paint Shine? | eHow.com
How to make your cars paint shine - by Lana Stockton - Helium
How To Keep Your Car Shining? | Top Cool Cars

Type neno hili "How to repair car paint demage " kwenye youtube utaona na video za garage moja ya wamerekani wanachofanya kuhusu paint.

kupinda cheses ni nini?
hii through google unaweza kutafuta forum za automechanics kupata ufafanuzi mfano kuna forum hii nimendika neno chasis bending
How to Bend Pipe and Tube
Chassis bending?
rc10gt chassis bending - R/C Tech Forums
pia ukiyuoutube neno chasis bending utapata video kama hii



lol kweli kila fani ina utaalam wake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom