padri wa jf mzush, mapenzi bado yanisumbua

Ina Maana kila anayekupenda na wewe unajenga Upendo? Au Unamaanisha Upendo upi? Upendo wa Agape au Upendo wenye lengo la Kuendeleza Ukoo?

Wa kimapenzi, ila inabidi niangalie na huyo mtu huwezi kurudisha upendo huo hovyo hovyo. Sio unapenda penda tu. Ni kama ambavyo mtoa mada kadata kwa mtu ambae hajarudisha hizo hisia kwa sababu zake binafsi.
 
Ha ha ha sasa nimeshaanza kukusoma! Wafaransa wanasema " Mpende akupendaye asiyekupenda achana naye".
 
Ha ha ha sasa nimeshaanza kukusoma! Wafaransa wanasema " Mpende akupendaye asiyekupenda achana naye".

Na pia sio unapenda kila akupendae maana wakati mwingine unaweza ukajikuta umezungukwa kama mtungi baharini. Muhimu kuangalia kama kuna anaekufaa, kama wote sio basi tena unasubiria round nyingine.
 
Peaneni maujanja basi jamani, afanyeje ili apendwe?

hakuna maujanja mkuu wangu,kama hupendwi hupendwi tu,sana sana ukijiona mjanja ukaaply maujanja watahit and run.
heri yetu tuliosubiri tukapendwa kwanza ndo na sie tukaunga tela,maana la sivyo tungeishia kutongozewa Pm ambako hata kuringa huwezi,maana mwanamke shurti mapozi na kuringa kidogo,sasa pm utaringa vipi kama sio kukubali tu kama maharage ya mbeya maji mara moja.Asante Yesu kwa kuniepusha na udesperate wa kukubali hadi wanaume wa Pm.
 
Back
Top Bottom