Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,688
- 3,142
Habarini wakuu, naimani ninyi humu wote ni wazima wa afya!
Kama Kijana wenu bado naendelea kuteseka na mapenzi maisha nayo yananichanganya sana mpaka nakaa nafikiria kujiua nikapumzike kaburini niepukane na haya matatizo, ila why God always me?
Kuna siku fulani nilileta uzi kuwa shemeji yenu mtarajiwa anafanya vijimambo mpaka nashindwa kuelewa sababu ni nini? au anafanya haya ili anirushe roho juu kupita status zake huko WhatsApp akiwa na Wanaume kwenye birthday zao, migahawa ya gharama na leo pia kapost status akiwa kwenye gari ya Mwanaume sijui wanaelekea wapi ila kwa jinsi ninavyoona kwenye video ya leo nimeona wapo kwenye hili daraja la kijazi wanaelekea city centre.
Kuna wadau walinishauri niachane nae,,, ushauri wenu niliupokea kwa mikono yote miwili. Lakini moyo wangu bado unamwitaji huyu binti niishi nae (Wanasema true love never die) nashindwa kumuacha kila nikijitahidi kuachana naye ila naona shetani anazidi nguvu.
Nishaurini jamani ni njia gani ninaweza kuifanya ili nimsahau kabisa kama alikuwepo kwenye maisha yangu yaani nisimuazie tena ni move on ni focus na lengo langu la maisha maana nimejaribu njia zangu nimeshindwa kutokana na mitego yake anayoniweke ili niwasiliane nae na mimi sitaki wakuu
#Natanguliza shukurani.