nimpedae ananipotezea nifanye nn aache kunpotezea?
priest alinipa tu ushaur khs love na haijasaidia i am not being in love with priest.
Oh kumbe. Niwie radhi kwa kukusoma vibaya.
. . . . . . . . . . . . . . .
??????????
sili,silali,sinywi sbb ya mapenzi nilio nayo juu ya memba humu ndani. Eti jaman nifanye nn nimsahau sbb ushauri wa padri haujafaa kabs. Sijui padri wa wap yule
nimpedae ananipotezea nifanye nn aache kunpotezea?