Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
sijawahi kuona mtu yuko offended na neno "padri" kiasi hiki. jaribu kutoa neno padri kwenye post alafu weka comment kuhusu hio topic.manake umeenda out of topic bila sababu yoyote zaidi ya chuki za kidini.Hao mapandri sasa wataka kuwapanda watu vichwa