Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
hao mapandri sasa wataka kuwapanda watu vichwa
shame on you
hao mapandri sasa wataka kuwapanda watu vichwa
Huyu ni mwandishi wa makala za RAIA MWEMA HAMJUI nini?? Na huyu si padri maana aliachishwa upadri miaka ya nyuma huko. Huyu ni sawa na Dr Slaa. Naye alikuwa padre na akaaomba yeye mwenyewe kwa Papa kuacha updre.
Habari ndo hiyo na msikasirike bila kujua, Jina tu hilo na si padre. MSOME MAGAZETI YA TZ, MTAWAJUA WAANDISHI WA MAKALA
Tembelea Raia Mwema - Muungwana ni Vitendo
Kivipi? Hii ni hoja yake kama mwandishi ,mtanzania , na ukitaka sana X priest. Usirukie treni kwa mbele mjomba.
Idumu,
Inaelekea wewe ni mkatoliki na unajua vizuri historia za Karugendo na Dr. Wilbroad Slaa.
Lakini inaelekea wewe ni mkatoliki usiyejua kinachofundishwa na imani kanisa lako.
Toka lini kanisa katoliki likawa na uwezo wa kumvua mtu upadri. Eti Dr. Wilbroad Slaa si padri tena. Wala Karugendo si padri unataka tumuite ni mwandishi wa makala tu.
Nyinyi ndiyo wale walioandika askofu Jacob Koda avuliwa uaskofu wakati upadri na uaskofu ni madaraja ya sakramenti.
Hebu elimika kwa kusoma makala ifuatayo kwa kuclick hapa kwenye mabano ( Blog Archive Padri akiachishwa upadri tujiadhari nini toka kwake?)
Ukishaelimika ndiyo turudi kwenye mada iliyopo jamvini.
Hivyo nilivyo highlight kwa red inatakiwa visomeke hivi Siasa = dini
maana wadau wao(wananchi) ni wale wale na malengo yao mara zote ni yale yale tu. Lakini ili kutufanya sisi mabwege tunaambiwa ni vitu tofauti. Naweza kukuletea mifano toka karne kabla ya Kristo na hata baada ya kristo.
Futa mawazo ya kuweka neno NA katikati ya maneno hayo mawili. Weka =
Hilo tatizo la mtu binafsi kama padri ni mbakaji hiyo inakuwa ni hulka yake kama ilivyo kwa maImam na masheck kwenye madrasa kila siku wanababwa kwa hicho sio kigezo cha kumkatalia Padri ambaye ni Mtanzania asizungumzie mambo yanayoiguza jamii
Kupanda watu vichwa kivipi, hawatakiwi kuhoji ama kukosoa? Wao si waTZ? Inaelekea unachuki binfsi na mapadre na kwamba kwa kiasi kikubwa wanagusa maslahi yako km sio yenu?[/QUOTE
Wakuu tufike mahala tuwe tunachukua muda wa kufiri kabla hatujasema kitu.Padre karugendo ni mwandishi, alikuwa padri ameacha/kuachishwa.
padre inayotumika sasa nikama tunavyo wale waliostaafu ambao walikuwa na career fulani k.m Mwalimu Anna.
Hata hivyo yeye pia ni raia ambaye anahaki/wajibu wakuhoji jmbo lolote huo ni uhuru wake wa kikatiba.Chuki za Dini zitatufikisha pabaya.
i wish ningekuwa na gun!mtu kama Bull,i would just ELIMINATE HIM.bs'e idn't like the way he misuses the motto 'WHERE WE DARE TO TALK OPENLY'
shame on you