P Square live in Dar - Leaders Club

sure niko mbele kabisa karibu na stage... kwenye taa inayozunguka mydia

Ngoja nikusake kimya kimya kama FBI...nikiona wadada wawili wanatambulishana kwa furaha ntajua tu mmoja ndio wewe...
 
Ninavofahamu JD hapigi show bila milioni 10 mezani. na najiuliza kwanini diamond hakuitwa ku-perform hii show

sidhani kama kuna umuhim dimond awepo kila show, na jana nimeshangaa sana hawa jamaa wanaulizwa juu ya style aliyovaa dimond kwenye harus ya peter sikuamin walipojibu hawamfahamu, adrian step akasisitiza dimond from tz wakasema hawamjui na bado akasisitiza mlipiga nae picha bado wakasema tulipiga picha na waalikwa weng ila huyo hatumjui wao wanamkumbuka adibayor na wengne wengne dah nilichoka.
 
Diamond hakualikwa kwenye ile harusi. Aliingia kwa kutumia kadi ya Davido ambayo ilikuwa double.mavazi yake tu yalionesha ni jinsi gani hakustahili kuwepo eneo lile.
 
sidhani kama kuna umuhim dimond awepo kila show, na jana nimeshangaa sana hawa jamaa wanaulizwa juu ya style aliyovaa dimond kwenye harus ya peter sikuamin walipojibu hawamfahamu, adrian step akasisitiza dimond from tz wakasema hawamjui na bado akasisitiza mlipiga nae picha bado wakasema tulipiga picha na waalikwa weng ila huyo hatumjui wao wanamkumbuka adibayor na wengne wengne dah nilichoka.

daa kumbe awamjui kabisa na hawa kumuona kabisa? kuna mtu aliniambia heti waliulizwa kuhusu diamond wakadhani Adrian ana zungumzia madini ya Almasi? ni kweli? ina maana hawa kumualika?
 
Jamaa wamelipwa Dola laki 2 Jaydee na prof J milioni 6 Kila mmoja..... Benpoul Milioni 4 na Joh makini milioni 3.... Wasanii wa Tanzania wana kazi kubwa sana ya kuongeza thamani yao..
Mtoto wa kiume na umbea na uongo wapi na wapi? Jide akiwa na band hachukui chini ya 10M..fanya research kabla ya kuropoka hapa...and FYI wamekula pesa nzuri sana zaidi ya hiyo unayosema
 
Aiseee
 
Back
Top Bottom