Naitfuta site niweze kudownload siipatiSisikii wadau mkiuongelea huu mzigo. Ni series ya zaman nahisi 2007 au 2008 lkn imenikaa kichwani since ina unyama mwingi sana, kama hujaitazama give it a shot na uje utuambie mtazamo wako kuhusu OZ.
Omar white bonge la characterAdebisi...jamaa alikua mnyama mnigeria yule sijaona..namkumbuka ryan na ndugu yake
Pia namkumbuka omar niliiangalia 2009
Kareem Said na wale kina oreilly..aisee sitakaa niisahau hii seriesAdebisi...jamaa alikua mnyama mnigeria yule sijaona..namkumbuka ryan na ndugu yake
Pia namkumbuka omar niliiangalia 2009
Nautafuta sana Ile seriesOmar white bonge la character
Nilikuaga nazo zote... Mashine ikazingua... Piratebay torrent zipoNautafuta sana Ile series
Mzigo wa Kitambo cha miaka 20 iliyopita. Huu mzigo ni matata sana, unakutana na akina Warden Leo Glynn, Tim McManus, Augustus Hill, Kareem Said, Vern Schillinger, Tobias Beecher, Simon Adebisi, Sister Peter Marie Reimondo, Chris Keller, Ryan O'Reily, Miguel Alvarez, Robert Rebadow, Father Ray Mukada, Dr. Gloria Nathan, and Agamemnon.Sisikii wadau mkiuongelea huu mzigo. Ni series ya zaman nahisi 2007 au 2008 lkn imenikaa kichwani since ina unyama mwingi sana, kama hujaitazama give it a shot na uje utuambie mtazamo wako kuhusu OZ.
Shukran Adebisi 👍🏿Nilikuaga nazo zote... Mashine ikazingua... Piratebay torrent zipo
VERN yule Mzee ni kama Mukaka wa jela😃Mzigo wa Kitambo cha miaka 20 iliyopita. Huu mzigo ni matata sana, unakutana na akina Warden Leo Glynn, Tim McManus, Augustus Hill, Kareem Said, Vern Schillinger, Tobias Beecher, Simon Adebisi, Sister Peter Marie Reimondo, Chris Keller, Ryan O'Reily, Miguel Alvarez, Robert Rebadow, Father Ray Mukada, Dr. Gloria Nathan, and Agamemnon.
Hiyu Dr. Gloria mimi mwenyewe nilikua namzimia sana.
Alikua hapendi kuitwa Wrangler, yeye alikua anataka aitwe "Bricks" (Vitofa/Matofali) akijidai ana ngumi za uzito wa tofali🤣Wrangler aliulizwa kama ataweza kupigana na Chucky Pancamo kwenye lile shindano la boxing
"anakwambia yy ni kama Mike Tyson
Anasmoke anadrink ana JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala ndio anaenda kupigana......na atashida
Dahh yule dogo alikuwa miyeyusho sana😃
Dr Gloria si ndio yule aliyekuwa anazinguliwa sana na Ryan😃Mzigo wa Kitambo cha miaka 20 iliyopita. Huu mzigo ni matata sana, unakutana na akina Warden Leo Glynn, Tim McManus, Augustus Hill, Kareem Said, Vern Schillinger, Tobias Beecher, Simon Adebisi, Sister Peter Marie Reimondo, Chris Keller, Ryan O'Reily, Miguel Alvarez, Robert Rebadow, Father Ray Mukada, Dr. Gloria Nathan, and Agamemnon.
Hiyu Dr. Gloria mimi mwenyewe nilikua namzimia sana.
Schillinger lilikuwa linanikera sana, lenyewe lilikuwa linapenda kuwala jamaa wengine, lilimla Tobias Beecher, ma yule dogo amnaye baba yake aliuawa mule.VERN yule Mzee ni kama Mukaka wa jela😃
Dr. Gloria alikija kuliwa na Miguel Alvarez...Dr Gloria si ndio yule aliyekuwa anazinguliwa sana na Ryan😃
Aisee itabid niitafute Kwa mara nyingne tena Hakka Oz ni series Moja Kali sana Kuna ving vyakujifunza muleSchillinger lilikuwa linanikera sana, lenyewe lilikuwa linapenda kuwala jamaa wengine, lilimla Tobias Beecher, ma yule dogo amnaye baba yake aliuawa mule.
Halafu wote walikua wanamgwaya Pancamo, ikabidi wafanye hujuma ya kumchoma Sindano ya HIV, halafu wakasababishwa apimwe, alipokutwa na maambukizi akahamishwa Emirald City wakawa huru.
Mule ndani hata uweje watu wataichimbuachimbua historia yako yote kwa lengo la kujua weakness zako ili wazitumie dhidi yako.
Schillinger lilikuwa linanikera sana, lenyewe lilikuwa linapenda kuwala jamaa wengine, lilimla Tobias Beecher, ma yule dogo amnaye baba yake aliuawa mule.
Halafu wote walikua wanamgwaya Pancamo, ikabidi wafanye hujuma ya kumchoma Sindano ya HIV, halafu wakasababishwa apimwe, alipokutwa na maambukizi akahamishwa Emirald City wakawa huru.
Mule ndani hata uweje watu wataichimbuachimbua historia yako yote kwa lengo la kujua weakness zako ili wazitumie dhidi yako.
Sure ni Antonio NappaYah yule mzee alikuwa anaitwa Antonio Nappa kama sikosei