OZ " The name on the Street for the Oswald Maximum penetentiary"

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
535
329
Sisikii wadau mkiuongelea huu mzigo. Ni series ya zaman nahisi 2007 au 2008 lkn imenikaa kichwani since ina unyama mwingi sana, kama hujaitazama give it a shot na uje utuambie mtazamo wako kuhusu OZ.
 
Naitfuta site niweze kudownload siipati
 
Sisikii wadau mkiuongelea huu mzigo. Ni series ya zaman nahisi 2007 au 2008 lkn imenikaa kichwani since ina unyama mwingi sana, kama hujaitazama give it a shot na uje utuambie mtazamo wako kuhusu OZ.
Mzigo wa Kitambo cha miaka 20 iliyopita. Huu mzigo ni matata sana, unakutana na akina Warden Leo Glynn, Tim McManus, Augustus Hill, Kareem Said, Vern Schillinger, Tobias Beecher, Simon Adebisi, Sister Peter Marie Reimondo, Chris Keller, Ryan O'Reily, Miguel Alvarez, Robert Rebadow, Father Ray Mukada, Dr. Gloria Nathan, and Agamemnon.
Hiyu Dr. Gloria mimi mwenyewe nilikua namzimia sana.
 
Wrangler aliulizwa kama ataweza kupigana na Chucky Pancamo kwenye lile shindano la boxing
"anakwambia yy ni kama Mike Tyson
Anasmoke anadrink ana https://jamii.app/JFUserGuide ndio anaenda kupigana......na atashida
Dahh yule dogo alikuwa miyeyusho sana😃
 
Mzigo wa Kitambo cha miaka 20 iliyopita. Huu mzigo ni matata sana, unakutana na akina Warden Leo Glynn, Tim McManus, Augustus Hill, Kareem Said, Vern Schillinger, Tobias Beecher, Simon Adebisi, Sister Peter Marie Reimondo, Chris Keller, Ryan O'Reily, Miguel Alvarez, Robert Rebadow, Father Ray Mukada, Dr. Gloria Nathan, and Agamemnon.
Hiyu Dr. Gloria mimi mwenyewe nilikua namzimia sana.
VERN yule Mzee ni kama Mukaka wa jela😃
 
Dr Gloria si ndio yule aliyekuwa anazinguliwa sana na Ryan😃
 
VERN yule Mzee ni kama Mukaka wa jela😃
Schillinger lilikuwa linanikera sana, lenyewe lilikuwa linapenda kuwala jamaa wengine, lilimla Tobias Beecher, ma yule dogo amnaye baba yake aliuawa mule.
Halafu wote walikua wanamgwaya Pancamo, ikabidi wafanye hujuma ya kumchoma Sindano ya HIV, halafu wakasababishwa apimwe, alipokutwa na maambukizi akahamishwa Emirald City wakawa huru.
Mule ndani hata uweje watu wataichimbuachimbua historia yako yote kwa lengo la kujua weakness zako ili wazitumie dhidi yako.
 
Aisee itabid niitafute Kwa mara nyingne tena Hakka Oz ni series Moja Kali sana Kuna ving vyakujifunza mule
 
Yah yule mzee alikuwa anaitwa Antonio Nappa kama sikosei
Schillinger lilikuwa linanikera sana, lenyewe lilikuwa linapenda kuwala jamaa wengine, lilimla Tobias Beecher, ma yule dogo amnaye baba yake aliuawa mule.
Halafu wote walikua wanamgwaya Pancamo, ikabidi wafanye hujuma ya kumchoma Sindano ya HIV, halafu wakasababishwa apimwe, alipokutwa na maambukizi akahamishwa Emirald City wakawa huru.
Mule ndani hata uweje watu wataichimbuachimbua historia yako yote kwa lengo la kujua weakness zako ili wazitumie dhidi yako.
 
Yah yule mzee alikuwa anaitwa Antonio Nappa kama sikosei
Sure ni Antonio Nappa
Screenshot_20240218-155836_Google.jpg

...Chucky Pancamo alikua ni mzee wa "Not as I recall" kila akihojiwa.
Pancamo
Screenshot_20240218-160849_Google.jpg

Antonnio Nappa alichukua uongozi wa Sicilians baada ya Peter Schibetta kuhamishiwa psych ward.
Peter Schibeta
Screenshot_20240218-160746_Google.jpg

Nappa alikuwa stationed jikoni akishirikiana na Wangler.
Kosa la Schibetta alijaribu ku batyle na Ryan O'Reily
Screenshot_20240218-160532_Google.jpg

Ryan O'Reily yeye hakuwa na kundi, alikua ni ome-man army. Messup na watu wote ila huyu uki mess naye alikua anakupoteza, alikua ni mzuri sana kwenye kuchinganisha halafu yeye anabaki safe huku ninyi mkiishia kufanya kazi chafu zake.
 
Back
Top Bottom