Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Utakufa bila kufunga macho wewe
Acha ujinga.walojenga hizo nyumba zinawasaidia nini huko kaburini?wangezikwa kwenye nyumba zao basi?? Tena wengine nyumba zao zilishauzwa tena bei chee tu na watu wakala hela wakapita hivi
Uliwahi kuhudhuria msiba wa marehemu aliyeacha mke na watoto kadhaa nyumba ya kupanga ukaona mke anavyogalagala kwa uchungu
 
Hakuna haja ya kujenga, unawezajenga kwenye mabenki ukifa wanao wakaamua kuhama nchi au kujenga wenyewe kwa mzigo uliouacha kwenye akaunti.
ila ikiandikwa orodha ya walioonja mauti bila kumiliki nyumba,ukiona jina lako usikasilike,maana kujenga ni uamzi wa mtu.
Kama kujenga ni uamuzi wa mtu kwa nini uwekwe kwenye orodha, yaani maamuzi yangu yanawahusu nini? Kwa nini uhangaike kujua kama sikujenga ama nilijenga?

Nadhani watu tuache maisha ya kiswahili ya kufuatiliana, ishi maisha yako, sikujenga ama nilijenga is non of your business.
 
Ray acha makasiriko umri km huo sio wa kukaa kwa dingi yako acha ufala😂😂
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?

4.Dkt. Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Wajane nawatoto wa marehemu ambao hawakuacha kibanda wanaongoza kwa kuzimia na kugalagala siku ya mazishi

Itaendelea
 
1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?

4.Dkt. Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi

Itaendelea
Huu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.

Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom