Elections 2010 Orodha ya Majina ya Wabunge Vijana 2010

Mnavyo fikiri mtakuja ona maajabu tofauti na matarajioni mrejee Sheikh Yahaya.
 
Kubenea kwanza ampatie baba yake kazi ya kuendesha magari ya Mwanahalisi kisha amjengee nyumba kule Baleni, Mafia kisha mwenyewe akamwombe msamaha "deddy" wake kisha ndio afikirie kugombea ubunge

GT hizo ni personal issues ambazo si vyema sana kuziingilia. Wabunge wote wamewajengea baba zao nyumba? Marehemu Michael Jackson hakumuweka babake kwenye will na alikuwa na sababu nzuri za kufanya hivyo. Si wakati wote baba anakuwa 'mr. right'. Kuna mababa wengine wanawafanyia mambo ya ajabu sana watoto wao.
 
Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza

Democracy at its BEST, sit say anything relating to politics and feel very strong about what you said - regardless of the substance!!!! Oh wait!! The best democracy is also when one takes all the voting rights of others and makes decision

I love your democracy Agwambo... let me try to put youths kwenye majimbo yaliyobaki
1. Kigoma kusini - Juma Kaseja 2. Mkuranga - sulemani chande 3. Nyamagana - Mrisho Ngassa

YES WE CAN!!!
 
Kubenea anafaa sana uongozi umahiri wake katika uandishi kama kiboko cha mafisadi ni ushahidi.Mambo ya kuomba radhi ni ya binafsi yake,tuache ushabiki unaoipa nchi yetu viongozi wazuri wa sura lakini wasio na maadili ya uongozi.

kAMA Tunachagua watu kwa sifa hizi... basi hakuna haja ya kuomba CV zao!! wala tusilalamikie wabunge bongo lala!!!

I wouldnt Vote for Kubenea, i need more from him even though i commend his antifisadi war

Vipi Mkumbo nae hafai?

Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza
naona mzee umenisahau kabisa........nitakuwepo...
 
Mimi pia nina mkakati wa kugombea jimbo moja kule Iringa, si kijana by Definition lakini ni damu mpya kabisa yenye mwelekeo Chanya.

Saidia MADELA WA- MADILU ashinde ubunge huko Lilinga( jimbo limehifadhiwa) 2010.
 
Unawateua wewe au una maana gani? Duuh! mpaka 2010 tutaona mengi kutoka kwa JF "new members"!
Nshalisema hilo Mdau. Hebu angalia orodha yenyewe,looks like mwandishi kaweka majina kwa kujuana. Katika orodha hii baadhi tayari ni wabunge na dodosa dodosa zetu zinatwambia piga ua 2010 hawarudi,ujana kisiwe kigezo pekee tuangalie na uwezo pia jamani!
 
Democracy at its BEST, sit say anything relating to politics and feel very strong about what you said - regardless of the substance!!!! Oh wait!! The best democracy is also when one takes all the voting rights of others and makes decision

I love your democracy Agwambo... let me try to put youths kwenye majimbo yaliyobaki
1. Kigoma kusini - Juma Kaseja 2. Mkuranga - sulemani chande 3. Nyamagana - Mrisho Ngassa

YES WE CAN!!!
Lol umenivunja mbavu kwi kwi kwi kwi!!!! na Kondic tumpe uraia awe mbunge wa jimbo jipya la Masaki na Oysterbay kwa watasha!
 
Taratibu kijana punguza munkali!!!! Bandiko la tatu tu kwenye JF unakuja na unabii wa kisiasa. Tusemeje, au umekuwa Shekh Yahya?? Nashauri utumie vizuri tu uhuru wako wa kikatiba kwa kuchuja kila kitu kwa makini kabla hujabaandika.
 
mAMA Mdogo

Yaani unashangaa bandiko la tatu, ina maana hujawahi sikia kitoto kimezaliwa kishaota magego - wanaviita vigego!!!! Hahahaaaaaaaaaaa

I hope hiri rijamaa - AGWAMBO sio kigego

Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza

Beware! Mtandao at Work!
Look for yourself:
OUT Ndesamburo? Samwel Sitta? Anna Kilango? Dr Harrison Mwakyembe? Dr Wilbrod Slaa? Ole Sendeka?

Is it a concidence that all these are widely being identified as fighters against UFISADI? No way, this is not a coincidence!
 
Mi nimeingia humu kwa sababu moja tu; nilipoona maneno "wabunge VIJANA" mwili ulisisimka. Inakukumbusha chochote? Yaani bado nina hasira!
 
Mi nimeingia humu kwa sababu moja tu; nilipoona maneno "wabunge VIJANA" mwili ulisisimka. Inakukumbusha chochote? Yaani bado nina hasira!

UR right LD! "Vijana" Jakaya Kikwete na Edward Lowassa.
Wacha watu waingie mkenge........
Tunajuuuuuuuuta kuwafaham........

Nakwambia Mtandao umeanza kazi..... Tutasoma sana thread zao...
 
Siwezi kumtajia huyu kijana Angwamba aende kwa daktari gani wa binadamu kuangaliwa IQ ya ubongo wake,lkn unaweza wapata madaktari bingwa wa ubongo ukienda pale Muhimbili!

Kwenye kundi la vijana umemuweka Dr Emanuel Nchimbi wa jimbo la Songea mjini?Huyu Nchimbi ni kijana?ukijana mwisho TZ ni miaka mingapi?Thus why I said,Angwambo nenda ukamuone daktari wa ubongo ahakiki uwezo wako wa kufikiri!

NB-kama TZ ingekuwa unafuata utawala wa sheria huyu Emanuel Nchimbi sasa angekuwa jela kwa kudanganya ndani ya bunge kipengele cha elimu yake!
 
Nape anagombe Ubungo na atachuana na mama Mwangunga kwa upande wa CCM. Wakitoka huko watakutana na Mnyika kwenye uchaguzi mkuu.

Mimi nitafurahi kuona Nape anapita upande wa CCM ili apambane na Mnyika; huo mpambano nao utakuwa mzuri sana.

Hivi Sitta mbona kama ana wasiwasi sana kule kwake, je na yeye ameshindwa ku deliver? Ndio matatizo ya kushinda Dar na Dodoma.

Wabunge wengi sana wa bunge la sasa watapigwa nje mwaka 2010. Sababu kubwa ni kwamba wananchi wameanza kuelewa na uwongo wano na usanii wa siku za nyuma sasa ni liability.

Tatizo tu kwa vijana walio wengi ni kwamba siasa za TZ sasa zinahitaji pesa nyingi sana na watu wa kawaida hatuna tabia ya kuwachangia vijana wenye uwezo ili washike nafasi za uongozi kama wanavyofanya wenzetu wa nchi zilizoendelea. Matokeo yake watu pekee ambao wanaweza kuwa na pesa za kutosha kuendesha kampeni ya maana ni mafisadi, wafanyabiashara au watu wenye kazi za maana. Hili ni tatizo kama tunataka uongozi bora.
 
Nadhani anachanganya dhana mbili ya wabunge vijana wa kupandikizwa na wabunge vijana wapiga kazi ili ionekane anaongelea muamko wa damu changa katika kuchangia maendeleo ya taifa letu. Mwambie aliyekutuma ametokota kwani hata kuiweka hoja yako iwe na mashiko umeshindwa.
 
Ni makoza makubwa na ukiukaji wa katiba ya jamhuri wa muungano na kanuni na taratibu za uchaguzi kufanya kampeni kabla ya wakati uliopangwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

tujaribu kufuata utawala wa sheria na utawala bora.

tuache street politics
 
Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza
Kwa mtanzamo huo unapoteza sifa ya kuwa Greatthinker masuala ya siasa si kukurupuka jenga hoja kaka.Hiki si kijiwe cha wanywa kahawa
 
Back
Top Bottom