ngalikikinakiki
Member
- Mar 29, 2011
- 55
- 18
King Kiki, Ndala Kasheba, Kabeya Badu, Baziano hao ni baadhi ya wanamuziki waliokuweko kwenye kundi lile la muziki la Fauvette lililoleta nyimbo kama Vivi, Zula, Francisca na nyingine nyingi tamu waone hapa www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com