... hakuna Waziri Mbovu, ubovu ni kwa Mtengeneza Mawaziri!!
Hawa Ghasia!! Bibi mipango wa wilaya ya mtwara!! alikuwa hawezi kumudu hata kadamnasi ya watu 15 sasa ni Waziri!!! Kweli kikwete katuweza!!! Ninamkumbuka sana niliwahi kubishana naye kidogo huko mtwara kwa masuala madogo ya kikazi AKALIA MACHOZI eti sasa ni WAZIRI! Huyu Jakaya hana jema na Nchi hii.Hawa ghasia Naye hafai amekaa sana kwenye hiyo wizara na anaboronga tuu Kwanza sijui kasoma nini? Anajifanya Ana hasira sana sio mstaarabu kabisa
Mbona kimya wakuu au mnamkubali
Nkulo .
Hawa Ghasia!! Bibi mipango wa wilaya ya mtwara!! alikuwa hawezi kumudu hata kadamnasi ya watu 15 sasa ni Waziri!!! Kweli kikwete katuweza!!! Ninamkumbuka sana niliwahi kubishana naye kidogo huko mtwara kwa masuala madogo ya kikazi AKALIA MACHOZI eti sasa ni WAZIRI! Huyu Jakaya hana jema na Nchi hii.
Mkuu FJM nimekuwa nikisikia madeni hayo ya tanroads. Hivi yametokana na ni nini? Nani kayasababisha?
Karibu wote wabovu ila kuna swala kubwa ambalo ni Boss JK hatoi direction na vision anataka Tanzania Gani ndio tataizo KUBWA ZAIDIWakuu miongoni mwa mawaziri wasistahili uteuzi wao ni Shukurukawambwa,tangu wizara ya miundombinu sasa wizara ya elimu ndo inaporomoka kwa kasi. My take mtazamo wangu wakuu nawasilisha
Katiba ijayo waziri atume maombi kama ana vigezo apewe wadhifa