Opinion: Shukuru Kawambwa ni waziri mbovu kuliko wote Tanzania

WAZIRI:Shukuru kawambwa.
NAIBU WAZIRI:philip Mulugo a.k.a Hamim Augustino a.k.a Dick Mulungu.
Unategemea nini kwenye wizara hii kama sio madudu matupu,

Hakika hawa watu ni majanga ya taifa. Mpaka leo tarehe 25/6/2013 Wizara haijatoa majina ya watu kujiunga na kidato cha Tano wakati shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2013,

Post za vyuo vikuu zimetoka lakini nazo ni vurugu kubwa sana watu wamepangiwa kozi ambazo hawazichagua kabisa.
Vitabu vinavyotumika shulemi vinavyopitishwa na Wizara vimejaa makosa matupu.

Hivi Kawambwa anafanya nini pale wizarani?
 
hakika nchi yetu inaongozwa kiajabu sana,wale walitajwa na cc ya ccm kuwa ni mawaziri mizigo wameteuliwa kuwa mawaziri napata tabu kujua ni kwa lengo gani,kawambwa ameporomosha kiwango cha elimu anakumbatiwa tu kwa maslahi ya nani wakati wananchi tunashuhudia ufaulu mbovu,nkamia amedhihirisha hana busara nae kateuliwa naibu waziri(ikumbukwe aliwatusi waandishi) nchemba aliapa kwamba chadema ni chama cha kigaidi wakati si kweli(aliapa eti adui zake ni Dr Slaa na shetani)leo hii ni naibu waziri wa fedha. Yawezekana Walitumwa kutenda hilo ndo wametunukiwa vyeo,ukubwa wa baraza wengi wakiwa na tuhuma lukuki kuna lengo gani kama si kuangamiza kizazi cha wengi na wachache(watawala)wakinufaika. Kujikomboa yataka moyo wa ujasiri hasa kipindi cha uchaguzi mkuu,tafakari!
 
kwa awamu hii ungemtaja nani kuwa hamudu nafasi aloteuliwa katika wizara husika
 
Back
Top Bottom