Operesheni vua gamba...vaa gwanda...

unaweza kutufahamisha....ng'ombe mwenye bei ni yupi.....?

Acha kunifurahisha, yaani umeuliza swali ambalo jibu liko wazi kabisa. NG'OMBE MWENYE BEI SOKONI NI BABA YAO(CCM).
.
Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
nimefurahi kusikia hivyo....hivi ni soko gani vile....nataka nikamnunue......

Achana nae huyo kibaraka!!!!

maisha+bora.jpg
maji+ya+shida.jpg

Hii imetulia kweli haya ndo kina REJAO wanayasifia acha waendelee time will tell
 
Acha kunifurahisha, yaani umeuliza swali ambalo jibu liko wazi kabisa. NG'OMBE MWENYE BEI SOKONI NI BABA YAO(CCM).
.
Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Ebu nifahamishe hiyo shule ya upuuzi uliyosoma nami nikajifunze upuuzi kidogo mana ni kweli waliosoma si chakula tu bali ni mafisadi wa kisawasawa.

Mbeleko ya magamba inataka kupasuka kwa kujaribu kuuza ngombe magamba magamba na wanunuzi wameshtuka kuwa ni mifupa tu wala si ng'ombe?
 
nimefurahi kusikia hivyo....hivi ni soko gani vile....nataka nikamnunue......

Soko ambalo Ccm ina bei ni kwa wananchi wote wanaopenda nchi yao na ambao hawana akili za kufuata upepo wa uanaharakati usio uanaharakati. Kwa kifupi ni kwamba Ccm ina soko kwa wapenda maendeleo wote wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Kumbe ni Arusha.!!!!!!!. Sasa oparesheni gani hiyo, nijuavyo kanda ya kaskazini ni chadema wengi, sasa hii operesheni inakuwaje tena?
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Masikini wa kutupwa na walalahoi wote wanaoishi chini ya dola moja kwa siku ndiyo chakula kikuu cha CCM. Mungu na ailipe CCM sawa sawa na matendo yao maovu kama nini!!!
 
Hii imetulia kweli haya ndo kina REJAO wanayasifia acha waendelee time will tell

Unadhani kuna nchi gani hapa duniani ambayo kila mwananchi anapata mahitaji yote mhimu kwa binadamu kwa ghafla pasipo utaratibu?. Mtoto mwenyewe haanzi kwa kukimbia, anaanza kutambaa kwanza and then ndiyo anaanza kukimbia. Kwa hiyo kadri siku zinavyosonga mbele, hayo yote yatakuwa historia tu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
tumeshakodisha magari 4 toka Monduli...Watu huku wapo radhi watembee hadi A town...we wacha bana..ile kibao ya peoples Power Tanzania wamasai wanaipenda sna..wanavyoiimba ...utacheka ufeee..ila bado ni furaha
 
Soko ambalo Ccm ina bei ni kwa wananchi wote wanaopenda nchi yao na ambao hawana akili za kufuata upepo wa uanaharakati usio uanaharakati. Kwa kifupi ni kwamba Ccm ina soko kwa wapenda maendeleo wote wa nchi yetu nzuri ya Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

sasa mbona nasikia CCM ni mafisadi.....wanakula pesa za wananchi na kujinufaisha matumbo yao......ni kweli....?
 
tumeshakodisha magari 4 toka Monduli...Watu huku wapo radhi watembee hadi A town...we wacha bana..ile kibao ya peoples Power Tanzania wamasai wanaipenda sna..wanavyoiimba ...utacheka ufeee..ila bado ni furaha

sawa kabisa....ila kuna kakutu kadogo hapo Monduli......ndio tunaelekea dukani kununua WD40 mara moja....tutakaondoa 2015.....
 
Masikini wa kutupwa na walalahoi wote wanaoishi chini ya dola moja kwa siku ndiyo chakula kikuu cha CCM. Mungu na ailipe CCM sawa sawa na matendo yao maovu kama nini!!!

Kama wewe sio maskini, basi unachukua hatua gani kuwasaidia hao waishio chini ya dola moja kwa siku?. Kama una mali na bado huwajalia maskini, lakini kazi ni kuwanyanyapaa tu, elewa kuanzia leo kuwa hao watu kwako NI CHAKULA KWAKO. Kama unatumia usomi wako kuwaibia maskini, basi usomi wako kwao ni sawa na CHAKULA UNACHOTUMIA KUJINEEMESHA.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Wapendwa nipo Arusha na hv sasa gari ya matangazo inapita na makamanda wanatangaza mkutano mkubwa kuwakaribisha makamanda walio Vua magamba na kuwakabidhi kadi NA MAGWANDA. Mkutano ni Jumamosi sa 8mchana NMC. Source gari ya matangazo inayozunguka mjini mda huu
 
aliyetumia nguzo ya moto na wingu kutuongoza kutoka Misri......na kutufikisha Kanaan.....

na kupasua bahari ya shamu na mto jordani wana israel wakapita ndio huyo huyo atakayetufikisha watanganyika kwenye ukombozi tunaoutaka.
TULIANZA NA MUNGU WA ISRAEL NA TUTAMALIZA NA MUNGU WA ISRAEL.
 
Back
Top Bottom