Operesheni vua gamba...vaa gwanda...

Mwitikio ni mkubwa sn hapa mjini krokoni na soko kuu,. Watu wameitikia kwa nguvu walivoona gari ya matangazo
 
Nafiki itakua ndio ile siku mh. Lema aliyosema kuna madiwani wengi sana wa ccm wanajivua gamba...
 
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....
Preta
Roger.
Wilco.
Naamini Crashwise ameipata hii, na ataleta mavyombo yetu ya kazi!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni Arusha.!!!!!!!. Sasa oparesheni gani hiyo, nijuavyo kanda ya kaskazini ni chadema wengi, sasa hii operesheni inakuwaje tena?
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Mkuu tunakufahamu huna jema linalohusu Chadema endelea kukumbatia maiti (i.e CCM) mpaka ikuozee na ukiona umebakia na skeleton utaamua mwenyewe pa kwenda.
 
Tunafanya finishing, si unajua kuna masalia ya magamba?
 
Mwitikio ni mkubwa sn hapa mjini krokoni na soko kuu,. Watu wameitikia kwa nguvu walivoona gari ya matangazo
 
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....

Preta Ukitoka NMC niletee gwanda jipya Nikys pub. Nimechoka kuwa neutral baada ya kuvaa gwanda sasa kitakachofuata ni operation nyumba kwa nyumba huu nilipo

M4c oyeee
 
Last edited by a moderator:
unaweza kutufahamisha....ng'ombe mwenye bei ni yupi.....?

Achana nae huyo kibaraka!!!!

maisha+bora.jpg

maji+ya+shida.jpg
 
Mkuu tunakufahamu huna jema linalohusu Chadema endelea kukumbatia maiti (i.e CCM) mpaka ikuozee na ukiona umebakia na skeleton utaamua mwenyewe pa kwenda.
Duuh! kweli JF never boring....jibu hilo hapo juu mtu lazima ale chocho.
 
Back
Top Bottom