Operesheni vua gamba...vaa gwanda...

Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....
Nipo Ilboru, itakua kuteremka tu!
 
Operesheni hii itaongozwa na mwenyekiti wa Taifa Mh Freeman Mbowe,Viongozi wa mkoa,wilaya,na wabunge mbalimbali
 
Nitakuwepo Makamanda wa Arusha Naomba Mnipokee na Mnikirimu:director:
 
Nipo Iringa, i wish tuwe pamoja....! PLZ NA HUKU MFIKE TUKAWAVUE MAGAMBA WA ISIMANI KWA LUKUVI.
 
kumbe ni arusha.!!!!!!!. Sasa oparesheni gani hiyo, nijuavyo kanda ya kaskazini ni chadema wengi, sasa hii operesheni inakuwaje tena?
.
"ama kweli chadema ni sawa na ng'ombe asiye na bei sokoni".
.
"wasiosoma ni chakula cha wasomi".
wewe ndio wali wa mtu.
 
Litakuwa tukio la kihistoria kwa Jimbo la Arusha na majirani zake , pale siku ya Jumamosi tar 5/5/2012 katika viwanja vya NMC Arusha. Mkutano wenyewe ni kuanzia saa nane mchana, pale ambapo wakazi wa Arusha na majimbo yanayolizunguka watakaposhuhudia watu mashuhuri wakirudisha kadi za CCM na kukabidhiwa Kadi za CHADEMA, yaani kuvua Gamba na kuvaa Gwanda..
Shughuli nzima inategemewa iwe na msisimko mkubwa kwani wanaojivua gamba watakuwa wanaongozwa na Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Ndg James Ole Milya.
Watu wote wapenda mabadiliko wanaalikwa waje kushuhudia tukio hili la Kihistoria katika mji wa Arusha.
Watu kwa mamia wameamua siku hiyo kurudisha kadi za CCM kwa pamoja.
 
Magamba pressure inapanda, pressure inapanda! Hakuna cha pressure kushuka this time!
 
Twategemea mtasisitisha tabia yenu ya kuleta VURUGU katika mkutano. Msije mkamkaribisha Nhimbi vibaya
 
Madiwani wa ccm watasalimika kweli? wavae magwanda isipokuwa chatanda. chatanda akitaka kujivua gamba mwambieni ana damu zinamlilia. akatubu.
 
CCM tunawanachama nchi nzima, ARUSHA tumeenea mkoa wote, hapo mjini ni sehemu ndogo ya nchi
 
vua gamba vaa gwanda....nimeipenda iyo it real rock!!!!!!!!!!
Ni kesho jumamosi tar 5-may-12....viwanja vya NMC (Tahrir Squire)...Arusha, kuanzia saa saba mchana....
ukisoma tangazo hili....mjulishe na mwenzio....
M4C....daima....
 
Twategemea mtasisitisha tabia yenu ya kuleta VURUGU katika mkutano. Msije mkamkaribisha Nhimbi vibaya

Update avilable! please update your brain. on the process you will be prompted to change background collor from green/yellow. follow the link below:

TZ@CHADEMA.GVT
 
Kumbe ni Arusha.!!!!!!!. Sasa oparesheni gani hiyo, nijuavyo kanda ya kaskazini ni chadema wengi, sasa hii operesheni inakuwaje tena?
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

magamba n payroll@work
 
Back
Top Bottom